walitola
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,796
- 5,553
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeona hakuna kitu kibaya kama ny*ege amini nakuambia
dah....nitakutumia wala usijali
inaendelea muda si mrefu...!Kwahiyo ndo mwisho!??
lakini salama.....
wakikujibu naombaunitag boss...Kwa aliyesoma yote naomba summary.
usikate tamaa...jiamini...ila usijiamini kupita kiasi...lakini kikubwa tafuta pesa..watakuwa wepesi zaidi ya hapo
haaahaaa inawezekana ikawa chai ambayo haina vitafunio enh...?Tupe namba ya waridi tumuulize wenyewe isije ikawa chai
imekuwaje tena....
zimefanyaje mbona kama sijaelewa point yako...
umetumia kigezo gani...?ni fiction
nitakuwa naileta hii simulizi ya kweli kila siku usiku hadi itakapoisha...Tutumie number ya waridi tumpigie ili aendelee kutusimulia maana tunachoka kusubiri.
#Bagwell
lengo la habari sio kufundisha...ata kuburudisha ni lengo la habari piaHadithi yako haifundishi mbona..???
wengi huwa awapendi kusoma story ndefu....hivyo tunajaribu kufupisha ili...watu wasome kwa nafasi...ila nitajitahidi kuandika kwa urefu...japo story fupi fupi ndio yenye kueleweka zaidi
nilikuwa kibaruani ndio natoka....na itakuwa inawajia usiku hii simulizi...ni ya kweli kabisaKwa hiyo umekwaa umeme?
lakini si nzuri...?
nipe connection...kama upo serius...mkuuMkuu kwsho njoo pale ofisi ya Shigongo tuandike hadithi magazetini.
swali gumu sana hilo ila ukisoma vizuri story jibu lake limo humo humo...Mzee ulikula kitu cha kwenye maji kama ni kweli ulimpump kwenye water niambie kilikuwa kinaliaje . Mana humu tupo wazoefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
swali gumu sana hilo ila ukisoma vizuri story jibu lake limo humo humo...