Kula ki masihara kulivyo nisababishia maumivu yasiyo pona no.1

Kula ki masihara kulivyo nisababishia maumivu yasiyo pona no.1

Prince Mhando,
Haaaa!! Haaaaaa! hapo kwenye daladala umenikumbusha mbali sana.
Kuna siku nilienda Kakola, mwenyeji wangu aliniambia nikishuka nichukue daladala, nilishangaa mji kama ule unawezaje kuwa na daladala wakati shinyanga hauna, kumbe alimaanisha baiskeli.
 
Hadithi yako haifundishi mbona..???
Mkuu hadithi yenyewe si bado haijesha? Mbona wewe unakimbilia kwenye funzo harakaharaka tena unalolitaka wewe?
Wengine kipo tulichojifunza hapa tena sana tu. i) Ubakaji wanawake kule baharini ii) Geita baiskeli kutumiwa kama daladala. Kuwa na subira nadhani mwisho kuna funzo utapata tu.
 
Nakumbuka kipindi nasoma chuo morogoro niliwahi fanya huu mchezo kwenye basi la abood kuna mdada nilikaa nae siti moja simjui hanijui, basi bwana mvua inanyesha hatari ndani ya basi AC iko juu sana yule Dada si akatoa shuka tujifunike we nilimchezea hatari, baada ya kufika Moro yule Dada kesho yake kaibuka geto asee nilipigaa tukawa wapenzi tulikuja kuachana pale nilipogundua ni mke wa mtu
 
Hahahaha umenikumbusha ishu ya daladala na Basi la Lushanga. Siku ya kwanza kufika geita nilitafuta daladala wala sikuziona kumbe wenyewe wanamaanisha baiskeli. Pia hilo basi la Lushanga nilipanda wakati wa kurudi, ni basi bovu kinoma yaani tuliondoka geita saa 11 nikashuka Dom saa 6 usiku. Ilikuwa ni masaa mawili linatembea, masaa mawili limeharibika wanatengeneza mara sijui linavuja nn yaani lile basi ni gonga nyundo halisi

Sent using Jamii Forums mobile app
basi la hovyo sana hilo...yani lilinifanya nifike nikiwa nimechoka...na nilifika nikiwa nina vumbi mwili mzima...siti chafu
 
Utunzi mzuri, ila unaharibiwa na huu usahaulifu mdogomdogo.
sijui nisemeje ila kwakweli mara nyingi huwa nahifadhi kitu kwa muda mchache sana kichwa...kuna muda ukifika...huwa vinajifuta...sijui ubongo wangu una tatizo gani...hii hali ninayo hadi darasani yani nisipo soma kwa kurudia rudia sana nitajikuta nasahau mwisho.
 
Mkuu hadithi yenyewe si bado haijesha? Mbona wewe unakimbilia kwenye funzo harakaharaka tena unalolitaka wewe?
Wengine kipo tulichojifunza hapa tena sana tu. i) Ubakaji wanawake kule baharini ii) Geita baiskeli kutumiwa kama daladala. Kuwa na subira nadhani mwisho kuna funzo utapata tu.
asante kwa kunisaidia...
 
Back
Top Bottom