nilimuomba waridi anitajie namba zake. kweli waridi alinitajia namba zake. nikazikalili pale pale..
Ungesema walau kuwa ulizisahau, ili hii chai isijulikane kwa urahisi.nambaya zaidi sikuwa na namba za Waridi kichwani
Mkuu hadithi yenyewe si bado haijesha? Mbona wewe unakimbilia kwenye funzo harakaharaka tena unalolitaka wewe?Hadithi yako haifundishi mbona..???
[emoji16][emoji16]Ungesema walau kuwa ulizisahau, ili hii chai isijulikane kwa urahisi.
kweli...kabisa...unajua by professional mimi ni muandishi...nimebeba diploma kichwani.Seriously?
yap....
asante...sana
itaendelea kuwa na subira....
yap...mimi ni mwenyeji wa Tanga...kutoka huko Handeni vijijini...!
itawajia hivi...punde
Kumbe ni stori haina uhalisia wowote?muendelezo upe kwenye post ya 44...isome uikosoe
haaahaaa....nauli kuanzia mia 2....dah kwangu usafiri wa daladala {baiskeli} ilikuwa maajabu sanaThe daladala part,imenikumbusha geita haswaa
asante sana
basi la hovyo sana hilo...yani lilinifanya nifike nikiwa nimechoka...na nilifika nikiwa nina vumbi mwili mzima...siti chafuHahahaha umenikumbusha ishu ya daladala na Basi la Lushanga. Siku ya kwanza kufika geita nilitafuta daladala wala sikuziona kumbe wenyewe wanamaanisha baiskeli. Pia hilo basi la Lushanga nilipanda wakati wa kurudi, ni basi bovu kinoma yaani tuliondoka geita saa 11 nikashuka Dom saa 6 usiku. Ilikuwa ni masaa mawili linatembea, masaa mawili limeharibika wanatengeneza mara sijui linavuja nn yaani lile basi ni gonga nyundo halisi
Sent using Jamii Forums mobile app
itakuwa vyema sana...linaitwaje nianze kulifuatilia...kuna kitu tunaweza kusaidiana hapoMkuu panda bus za kuja buza.. Kuna gazeti namiliki nataka watunga story Kama nyinyi.. Unaonekan upo vizuri kwenye utunzi
Sent using Jamii Forums mobile app
sijui nisemeje ila kwakweli mara nyingi huwa nahifadhi kitu kwa muda mchache sana kichwa...kuna muda ukifika...huwa vinajifuta...sijui ubongo wangu una tatizo gani...hii hali ninayo hadi darasani yani nisipo soma kwa kurudia rudia sana nitajikuta nasahau mwisho.Utunzi mzuri, ila unaharibiwa na huu usahaulifu mdogomdogo.
asante kwa kunisaidia...Mkuu hadithi yenyewe si bado haijesha? Mbona wewe unakimbilia kwenye funzo harakaharaka tena unalolitaka wewe?
Wengine kipo tulichojifunza hapa tena sana tu. i) Ubakaji wanawake kule baharini ii) Geita baiskeli kutumiwa kama daladala. Kuwa na subira nadhani mwisho kuna funzo utapata tu.