Kula ki masihara kulivyo nisababishia maumivu yasiyo pona no.1

wanawake huwa wanapoteza confidence sana wawapo safarini...sijui kwanini
 
Ungesema walau kuwa ulizisahau, ili hii chai isijulikane kwa urahisi.
asante kwa kunikumbusha...kwenye tasinia ya uandishi mimi bado mchanga sana...bado najifunza...ila kikweli nilizisahau.....haaahaahaa
 
ilinipa shida sana hiyo...nazani ilinitoa ushamba...
 
Mkuu hebu malizia basi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
ha ha ha ha we ja
maa malizia ila fupisha
 
sehemu ya 3

USO KWA USO NA WARIDI {ROSE}

ile dala dala ilinipeleka kama ambavyo Waridi alierekeza, hapakuwa mbali sana na pale, nilimkuta Waridi nje ya geti, alikuwa amevaa kigauni kifupi chenye kufanania na nguo za kulalia. tulikumbatia kwa furaha, Waridi alifurahia sana uwepo wangu na alidhihirisha wazi kuwa haku amini kuwa nitaenda. alinikaribisha ndani ilikuwa ni nyumba kubwa na walikuwa wanaishi watu wawili tu. kwamujibu wake Waridi nyumba ile walipangishiwa na mgodi. hivyo yeye na mwenzie waliekuwa wanaishi wote mule kwenye ile nyumba walikuwa ni wafanyakazi wa mgodini huko.lakini walitofautiana vitengo.

ilikuwa saa 1 asubuhi Waridi aliniongoza kwenye bafu la mule mule chumbani kwake, tulioga kiukweli nilikuwa namtamani, nilitamani nichape japo goli moja la ushindi mule bafuni lakini nikaiambia nafsi yangu kuku wangu mwenyewe manati ya nini bwana...? alinisugua mgongoni, akanipaka sabuni kifuani sikuwa na kifua kikubwa, akaendelea kunipaka sabuni tumboni, kwenye mbavu zangu akafika hadi chini ya kitovu kisha akaushika ub*o au muogo wa jang'ombe ulikuwa haujasimama vizuri alivyokuwa anaushika shika na mikono yake iliyopakwa sabu, muhogo ulizidi kutuna ukawa mkubwa, tulijikuta tunacheka. alikuwa anatamani japo nimchape kimoja...na mimi nilikuwa natamani lakini sikutaka kabisa kuonekana dhaifu. na mimi nikampaka sabuni taratibu mgongoni, hadi kwenye m*tako, nikashuka chini hadi kwenye mapaja yake.

kisha nikamgeuza nikaanza kumpaka sabuni kichwani shingoni hadi kwenye matiti yake. kiukweli Waridi alikuwa alikuwa na vititi vidogo pengine vilikuwa avishikiki kabisa. yani yalikuwa madogo kama ya msichana aliyekuwa anaanza kuvunja ungo. niliyamassaji yale matiti kwa mikono yangu yenye sabuni. nikashuka hadi tumboni, kwenye mbavu kisha kwenye papuchi, niliipaka sabuni nikashuhudi ute, ukimmiminika ukeni. ilionyesha kuwa waridi alikuwa na nyege kupita kiasi. tulijimwagia maji. baada ya kuoga Waridi alienda kazini kwani ile ilikuwa siku yake ya mwisho kazini kisha siku nne zitakazo fuata angekuwa mapumzikoni. {kule huwa wanafanya kazi siku nne na kupumzika siku nne.}

UTALII NYUMBANI KWA WARIDI
Waridi alienda kazini kishingo upande nilimsihi aende, japo niliyaona macho yake yalivyo mlegea kwa ny*ge alikuwa na ny*ge vibaya mno, ata mimi nilikuwa nazo lakini sikutaka kuifakama kwa pupa ile papuchi. nilibaki peke yangu mule ndani, lakini kwa upande ule wa mpangaji mwingine alikuwepo dada baadae niligundua kuwa alikuwa ni mfanyakazi wa ndani wa wa yule workmate wa Waridi. nilibadilisha nguo, nikaiendea dressing table ya Waridi kwa minajili ya kuchukua kitana ili nichane nywele zangu. pale kulikuwa na manukato mbali mbali ya kike nakumbuka moja ili andikwa Secret Desire nilichukua nikajipulizia kidogo marashi yale ya kike ambayo yalikuwa na harufu kali lakini inayo vutia.

nilifanya utalii mule chumbani kwa Waridi, kilikuwa chumba cha wastani hivi, kulikuwa na kitanda kizuri kikubwa futi sita kwa sita, neti nzuri ya kisasa ambayo ilifanya muonekano wa kile chumba kiwe kama bustani vile. kilikuwa chumba kizuri, choo cha ndani kwa ndani.

nilihamia jikoni, nilipokuwa naelekea jikoni ukumbi nilikutana na yule mfanya kazi wa ndani. akawa anajichekesha chekesha, alamu ikagonga kichwani, niliipuuzia nilisalimiana nae kisha nikaingia sebuleni ambako huko ndiko jiko lilikokuwa. sebule ilipangwa vizuri, kulikuwa kuna tv kubwa ila ya kizamani yenye chogo nyuma, kulikuwa na sofa nzuri kimeza kidogo, na simu ya mezani ambayo ilikuwa haitumiki, kulikuwa na maua ya hapa na pale. mapambo mbali mbali.

jikoni nako kulikuwa kumesheheni vyakula mbali mbali lakini vilikuwa vibichi, kulikuwa na nyanya, vitunguu, nyama ya kusaga, mchele na trey kazaa za mayai. pembeni kidogo kulikuwa na stoo ambayo ilikuwa imesheheni magunia kadhaa ya punje za ubuyu....vile vile kulikuwa na sabuni nyeupe, pamoja na mafuta fulani hivi baadaye nilikuja kugundua vyote hivyo vilikuwa vinatengenezwa kwa kutumia ubuyu ule.

UTALII NDANI YA MJI WA GEITA
baada ya kuitalii ile vile vyumba vya Waridi niliamua kutoka nje ya uzio wa nyumba ile. nifuata uelekeo wa kulia ambako mbele kidogo hatua kama 100 hivi kulikuwa na kichaka chenye miti mikubwa, na mbele zaidi kulikuwa na kibonde ambacho kilikuwa kinatiririsha maji, pembezone mwa hicho kibonde kulikuwa kumepandwa bustani za mboga mboga, nilipishana na watu kadhaa, wakina mama na mabinti walikuwa wamebeba ndoo za maji kichwani, niliwasalimu huku nikiwa naendelea na safari, bila kujua ninako elekea. nilitembea hadi kwenye shule ya msingi Mseto. niliiona jinsi ilivyokuwa inazidi kuchakaa. nikaenda hadi kwenye soko la Kalangalala. nilikuwa natembea nikichoka napanda daladala {baiskeli} nilizulula sana siku ile. nilielewana na muendesha baiskeli mmoja nikawa nazunguka nae, alikuwa mcheshi alinizungusha sehemu mbali mbali.

niliifaidi sana mitaa ya Geita ukizingatia ule mji ulikuwa ni mji wa Tambalale, hapakuwa na milima kabisa pale mjini. hivyo kwa waendesha baiskeli kulikuwa na kaunafuu, unaweza ukaendesha baiskeli mji mzima bila kushuka kabisa. niliuona msikiti wa Ijumaa, niliiona hotel ya ALPHA {alpha hotel}, tulienda hadi kwenye ile lodge ya mwanakatwe. mitaa niliyotembelea ilikuwa ni mingi mingine siwezi kuikumbuka kabisa. {ila ipo siku nitarudi tena Geita}. nilijihisi kukinai kuendelea kukaa juu ya daladala ile {baiskeli} nilipokuwa karibu na redio geita, nilimwambia dereva asimamishe nikatoa noti moja ya shilingi elfu 5. nikampatia dereva alistaajabu ni kama mtu aliyekuwa anajiuliza chenchi atapata wapi...? nikamwambia "usiwe na wasi wasi hiyo yote ni yako"alinishukuru kisha nikaachana nae. kutoka hapo hadi nyumbani kwa Waridi hapakuwa mbali. niliendelea kuangaza angaza macho huku nikifuata uelekeo wa kurudi nyumbani.

kabla hujafika kwa waridi, barabarani kulikuwa na duka kubwa ambalo walikuwa wanauza vifaa vya asili, mikeka, vyungu, mavazi ya asili, bangili, sanaa za kuchongwa. lile duka lilikuwa kivutio kikubwa sana kwangu. mbele ya hilo duka ndip kulikuwa na njia inayochepukia upande wa kushoto kuelekea nyumbani kwa Waridi, niliifuata hiyo njia. nikaingia ndani kwa Waridi. nikaenda moja kwa moja hadi bafuni. nikaoga kupunguza uchovu. kisha nikaenda jikoni.

SINA MASIKHARA NIWAPO JIKONI.
nilichukua mayai kadhaa, nilichukua nyanya, vitunguu pamoja na karoti mbili tatu hivi. niliwasha jiko la gesi kisha nikaweka sufulia ambayo ndani yake nilikuwa nimemiminia mafuta kiasi. nilikatia kitunguu. na karoti vikaendelea kuiva kisha nikachukua nyanya nikaweka jikoni vikaendelea kuiva. nilikoroga hadi nilipo hakikisha kuwa nyanya zimeiva kabisa kiasi cha kufanya nyanya zitengane na mafuta. kisha nilichukua mayai niliyokuwa nimeyakoroga kwenye bakuli na kuyaweka jikoni. nilichanganya ule mchanganyiko wa mayai na nyanya. mpaka nikahakikisha umeiva.
kisha nilichukua mchele kwa kuuangalia tu ulikuwa ni super haukuwa na haja ya kuchambuliwa tena zaidi ya kuoshwa tu...! nilibandika maji mengi jikoni. maji yalipokuwa yanaendelea kuchemka nilikuwa nimesha maliza kuuosha ule mchele. nikayaepua yale maji kisha nikabandika mafuta wastani kwenye sufulia. mafuta yalipokuwa yanachemka nilikatia katia karoti kidogo. kisha nikaweka mchele ndani ya yale mafuta. nikaukologa kuuchanganya vizuri mchanganyiko ule wa mchele, mafuta na karoti. nilifunika kwa dakika kadha kisha nikachukua yale maji ya moto nikamimina kiasi kwenye mchele ule uliokuwa pale jiko. baada ya dakika kadhaa nikawa nimeshapika wali pamoja na mboga ambayo ilikuwa ni mayai.

mida ilikuwa imeenda ilipofika saa 1 kasoro ivi usiku Waridi alirudi kutoka kazini alinikuta nimeshika simu yangu nikiwa naperuzi kwenye mtandao wa Facebook. niliinuka tukakumbatiana. tulinyonyana sana mate hadi Waridi aliishiwa nguvu, nikawa naona jinsi mapigo yake ya moyo yalivyo badili uelekeo yakawa yanamuenda mbio kupita kiasi. alibadili hadi kuhema akawa anahema kama mtu aliyetoka kukimbizwa na mbwa mwenye hasira. ulikuwa ushindi kwangu. nilienda jikoni. nikapakuwa chakula, kwenye sahani moja nikaweka kijiko kimoja tu....!


nikaweka mezani kisha nikawa namlisha Waridi kisha namimi nakula kupitia kijiko hicho hicho, Waridi nae akawa ananilisha. ulikuwa ni mwendo wa kulishana. uvumilivu ulimshindwa Waridi akaniambia kuwa nimepika chakula kitamu sana. vile vile alisema kuwa ata ubwabwa ule niliupika kwa kiwango cha kimataifa. alikisifia sana kile chakula. kiukweli kwenye swala la kupika. huwa napenda sana kupika chakula mwenyewe kuliko kupikiwa. na mara nyingi huwa nikienda kwenye migahawa nikila tonge moja tu huwa najua kuwa chakula kimeiva au lah...

baada ya chakula ulifika muda wa kulana sisi wenyewe sasa.....itaendelea hivi punde.
 
Asante nasubiria mwendelezo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni chai bila shaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…