mahunduhamza
Member
- Aug 25, 2021
- 19
- 46
Hii ndio kula vizuri eti?Aiseee mimi nampenda saana ronaldo cr 7. Na nilijiapiza kama ronaldo ataa rejeaa tena man u nita kula vizuri saana hiyo siku..nikaona sio kesi nakasbr game yake ya kwanza england..kakipiga na newcastle na kafanikiwa kutulia gori 2.. Man u imeshinda kwa gori 4-1
Wachaaaaa nijipongeze na ugari kuku..kachumbarii
View attachment 1933706
Utajuaje kama ndio mtoa mada huyo ?? .. [emoji3]Leo ni siku yako ya kula Mzee.
Ukimaliza kuku ugali , kula na huyo aliyevaa kanga hapo.
Ufurah zaidi
Safari itapendezaBila Serengeti baridiiii pembeni hiyo menyu ni batili!