mahunduhamza
Member
- Aug 25, 2021
- 19
- 46
Aiseee mimi nampenda saana ronaldo CR7. Na nilijiapiza kama Ronaldo atarejeaa tena Man Utd nitakula vizuri saana hiyo siku.
Nikaona sio kesi nakasubiri game yake ya kwanza England, kakipiga na Newcastle na kafanikiwa kutulia goli 2.. Man u imeshinda kwa gori 4-1
Wachaaaaa nijipongeze na ugali kuku..kachumbarii