Kula kwa kujipongeza

Kula kwa kujipongeza

mahunduhamza

Member
Joined
Aug 25, 2021
Posts
19
Reaction score
46
Aiseee mimi nampenda saana ronaldo CR7. Na nilijiapiza kama Ronaldo atarejeaa tena Man Utd nitakula vizuri saana hiyo siku.

Nikaona sio kesi nakasubiri game yake ya kwanza England, kakipiga na Newcastle na kafanikiwa kutulia goli 2.. Man u imeshinda kwa gori 4-1

Wachaaaaa nijipongeze na ugali kuku..kachumbarii

FB_IMG_16312024290510576.jpg
 
Leo ni siku yako ya kula Mzee.

Ukimaliza kuku ugali , kula na huyo aliyevaa kanga hapo.

Ufurah zaidi
 
Jaman arsenal na comment wapi na mda wetu wa kulala saa ngapi [emoji23]
 
HONGERA SANA MKUU MWILI HAUJENGWI KWA MATOFALI
 
Raha ya kachumbari kitunguu kiwe kingi
 
Aiseee mimi nampenda saana ronaldo cr 7. Na nilijiapiza kama ronaldo ataa rejeaa tena man u nita kula vizuri saana hiyo siku..nikaona sio kesi nakasbr game yake ya kwanza england..kakipiga na newcastle na kafanikiwa kutulia gori 2.. Man u imeshinda kwa gori 4-1


Wachaaaaa nijipongeze na ugari kuku..kachumbarii

View attachment 1933706
Hii ndio kula vizuri eti?
🤣🤣
 
Kwaiyoo hauliii vizuriii mpaka W2 wahame Tim... Poaa na mim sitakula vizuriii siku iziii mpaka MANARA Haame YANGA arudi SIMBA....
 
Wananchi wana visa,
Mi nasoma comments tu,
Mwingine anataka Iwepo na serengeti pembeni,mwingine anasema hiyo broiler so si kula vizuri,mwingine anauliza Chinese, mwingine vitunguu kwny kachumbari..😄😄 basi ili mradi tu kila m2 na booster yake ktk raha ya starehe ya makuli.
 
Hiyo kachumbali nyanya zimeiva mno,
Halafu Acha Tabia za wanaume wa daslamu
Maana hako ka ugali kadogo aiseeunashibaje Kwa mfano unatuaibisha wanaume Aisee!

Unakwama wapi mdau?
 
Back
Top Bottom