Mrs Besyige
JF-Expert Member
- Aug 27, 2019
- 1,040
- 2,923
😆😆😆 uvae wewe n wife....na moka chini au unapendelea raba😆Nikimaliza hii bia naokoka zangu na kuanza kuvaa mashati ya vitenge kama Mbilia Abel.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆 uvae wewe n wife....na moka chini au unapendelea raba😆Nikimaliza hii bia naokoka zangu na kuanza kuvaa mashati ya vitenge kama Mbilia Abel.
uko upande upi nijeNIPO KITAMBAA HAPA SINZA ALIEKARIBU AJE ACHUKUE BIA 5.
Wewe segito walahì mgaya haaa!🤣🤣🤣🤣🙏😆😆😆 uvae wewe n wife....na moka chini au unapendelea raba😆
Kwa kiboko ya walogi kule Congo.😂Halafu sadaka unapeleka wapi?
Ndiyo maana niko nazipiga Siku Moja MojaUkipiga hivi vitu mara kwa mara, unakuwa hauzeeki haraka
😋mchemsho wa Sato
Haya njoo tujumuike Mjukuu 🤗
andaa koo ....Haya njoo tujumuike Mjukuu 🤗
Enjoy mdogo wanguUsijali Mjukuu
Leo nimezianzia tangu asubuhi 🥂
Umeanza kutoheshimu Wazee eeh 🤗Enjoy mdogo wangu
nisalimie tu kwakweli..Umeanza kutoheshimu Wazee eeh 🤗
Gari langu ni bovu, nimeona gari lako ni zima tafadhali naomba msaada univute maana Wahenga walisema gari bovu huvutwa na zima 😜nisalimie tu kwakweli..
Magari mabovu jau...litatufia njiani...engine itanoki😄Gari langu ni bovu, nimeona gari lako ni zima tafadhali naomba msaada univute maana Wahenga walisema gari bovu huvutwa na zima 😜
Kuwa na imani na Wazee 🤗
Kwani mkituwekea dawa za Presha pembeni ya Chaga Kuna shida Mjukuu?🤗🏃🏃Magari mabovu jau...litatufia njiani...engine itanoki😄
Mnasemaga tukifika mnapoteaNIPO KITAMBAA HAPA SINZA ALIEKARIBU AJE ACHUKUE BIA 5.