kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ila uwe makini, watekaji wapo kazini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mkuu.Maisha ni matamu sana, jifunze kutoka 😀
Kijana wangu wa mwisho yuko kidato cha nneUna umri gani Mkuu ?
Nyuzi zako zinaonyesha bado no kijana mdogo na bado hulijui kusudi la maisha yako hapa duniani. 🤣🤣🤣
utajijua mwenyeweInawezekana tuko wengi 😀
Toka upigwe pigwe na upepo wa mtaani, angalau uchangamshe akili.Sawa mkuu.
Aisee safi sanaKijana wangu wa mwisho yuko kidato cha nne
Sawa sawa, mi natanguliautajijua mwenyewe
Maisha ni jinsi unavyoyapanga mkuuAisee safi sana
Kweli mkuu, muhimu kutembelea sehemu zenye ulinzi mkaliIla uwe makini, watekaji wapo kazini.
Najipa muda kidogo tu, Hali isipopadilika nitajitoa tu mwenyewe tu.Angalia moyo usishindwe kusukuma damu
Lipi tena hilo?Ilo shuka halina mfuko 🤒🤒🤒🏃🏽♂️🏃🏽♂️🏃🏽♂️
Ulinzi mkali.. wale mabaunsa 🤣🤣Kweli mkuu, muhimu kutembelea sehemu zenye ulinzi mkali
Walio karibu watasogeaAliekaribu aje hapa hyatt kempinsky
Ulilo shika😝😝😝Lipi tena hilo?
Usimfikirie sana, utakufa kwa presha kumbe yuko kwa jamaa mwingineNajipa muda kidogo tu, Hali isipopadilika nitajitoa tu mwenyewe tu.
Namalizia saa4 naelekea kitamabaa sinza kucheki malayaWalio karibu watasogea