Kula mgahawani na kupika mwenyewe kipi kinamaliza pesa kwa upande wako?

yep kabisa..hii misosi ya magengeni ina mambo mengi sana..hawa wapo kibiashara lolote linaweza kufanyika..

Ila kupika nyumbani ndio best option...una ges yako na chakula chako ndani..haichukui saa moja na nusu umeshaivisha..
Kabisa mkuu...Mambo ya kula misosi imemikisiwa na maji ya K daaah!

Utashangaa mikosi inakuandama tu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa mkuu...Mambo ya kula misosi imemikisiwa na maji ya K daaah!

Utashangaa mikosi inakuandama tu[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁 huwa kuna mambo mengi watu hawajui tu...mara muhudumu anakuletea chakula huku ana mafua, hajapiga bafu, wengine kwenye kusonga ugali jasho anamimina humo...😁
 
Uko sahihi kabisa sasa hapo me sinunui unga kg 5 nachofanya ili niende mda mrefu zaidi nanunua unga kg 25 ngano hivohivo mchele kg 20 maharage kg10 sukari kg 5 mafuta ni kindoo nina gas mtungi mdogo nina mkaa gunia zima nyanya nanunua kg 2 vitunguu naenda mwenyewe sokoni hapo vya buku vinaenda hata mwezi ni vingi sana vitu ambavyo havidumu sana ni karot na hoho so nanunua za kunisogeza nazi zangu za elf tatu nyama sjui samaki nakuja weka ndani hapo ninakaa sana hata bajeti nayoachiwa naibana vizuri tu na maisha yanaenda ukiwa unafanya hivv ni muda tu ukae upike basi zile movement za kwenda magengeni na dukani hata hazipo labda mboga za majani ssna hizi ndio zinanipeleka huko gengeni au sokoni kabisa na nnakua na kikombe changu kile cha nusu maisha yanasogea
 
Thanks!! Umeniongezea Madini hapo!!
 
Eeehey sangara wa elfu 3 ule asubuhi mchana na jioni? Mkuu uko mwanza nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi kabisa mkuu.
Kwa upande wangu suala la kula mgahawani huwa siliafiki kabisa ukizingatia masuala ya kiafya. Kuliko nitafute chakula mgahawani ni bora nikae na njaa yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…