No SQL
JF-Expert Member
- Nov 8, 2014
- 7,063
- 12,563
Na unga wake je?Mihogo ni kweli ina sumu, na madhara yake hayaonekani hapo hapo, ni progressive yanawez chukua hata miaka kuonekana! Kukubwa usile miogo MIBICHI... Iliyopikwa iko safe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na unga wake je?Mihogo ni kweli ina sumu, na madhara yake hayaonekani hapo hapo, ni progressive yanawez chukua hata miaka kuonekana! Kukubwa usile miogo MIBICHI... Iliyopikwa iko safe
Unga nao hauna sumu kama ukiandaliwa vizuriNa unga wake je?
Daah sijui mkuu... Ugonjwa wa akiliUzezeta ni ugonjwa gani, kitaalamu.
UNA UHAKIKA GANI HUJAWA ZEZETE MKUU? ACHA WANAOKUZUNGUKA WATOE TATHIMINI JUU YAKOMi nimekua kahama uko.. mihogo nimekula sana na sijawa zezeta... Mihogo mkomboz wa jamii nying sana... Hii tafiti ya pdf
Ila mkuu usikubaliane kila kinacholetwa hapa, na watu wenye tabia kila wanachosikia, huja kuandika hapa.Daah sijui mkuu... Ugonjwa wa akili
Unafikiri mtu zezeta anajijua ni zezeta?
Watafiti wetu wa mabwana shamba cjui wanafanya nini, ilitakiwa wao ndo watoe elimu kuhusu ardhi gani inafaa kulima mihogo ila wanakaa ofisinj tu.Uchagani hatuli mihogo wala kisamvu. Ukila miogo lazima ukate kamba. Hik ni kutokana ardhi hii ina sjmu nyingi kama sumu za lava za alvocano iliyolipuka hapo zamani na sumu za mashambani mfano zile za kuua wadudu shambani. Uchagani hata kisamvu kinaogopwa sana. .
Hili ni ukweli mihogo inahifadhi sumu na pengine wangefanya utafiti kuhusu maeneo mengine husika na aina za sumu ambazo mwanadamu anaweza zapata kutokana na kula miogo au baadhi ya mazao mengine. .
Angalizo: Pia natoa angalizo kwa serikali. Kuna tabia watu wanapiga dawa nafaka kuzihifadhi kwenye maghala ili yasiliwe na wadudu. Kuna mda maalumu dawa ile inatalkwa ipite ili yawe mazuri kiafya kwa mwanadamu. Cha ajabu unakuta mahindi yanauzwa huku yakiwa yamepuliziwa sumu hizi na mwisho yanasagwa na walaji wanapelekewa. Tunaharibu sana vizazi vyetu kwa sumu z ajabu. .
Hata samaki na kuku wa broila wanatakiwa wachunguzwe kwa umakini sana. .
Mihogo ipo yenye sumu tena sumu hasa, kwa mikoa inayolima mihogo wanaijua, aina hii ya mihogo, huliwa ikiwa makopa, haifai kuliwa ikiwa imepikwa wala kuchomwa, huliwa ikiwa makopa tu.watafiti wetu wa mabwana shamba cjui wanafanya nini.ilitakiwa wao ndo watoe elimu kuhusu ardhi gani inafaa kulima mihogo ila wanakaa ofcn tu.umenena kweli kilimanjaro ardhi haifai kwa mihogo sababu mm ni muhanga wa kifo mama yangu alienda kununua mihogo soko la mwika jioni.basi acbuhi alikaanga tukala vizuri na chai ila ilikuwa michungu mm mama na wajuku zake wawili yaani watoto wangu nikaelekea job.kufika jion nikapigiwa cm watoto wanaumwa wanatoa mapovu mdomoni ilibidi awatafutie (mapolo) kinyesi cha ng'ombe chenye mchanganyiko wa mkojo hii inasaidia kama dawa pindi unapohisi mtu amemeza sumu aliwanywesha lakini hali ikawa mbaya zaidi ilibidi wakimbizwe hospitali ya marangu kitemboni fasta wakatundukiwa dripu na madawa hyo ndo ilikuwa pona yao.uzuri wa moshi kumejaa hospitali nyingi jirani kila kona ingekuwa mikoa mingine huko vijijini ungekuta nilishawapoteza wote kwa mpigo.japo bili ilikuwa kubwa ni zaidi ya 300000 hyo ndo shida ya hosptali za tasisi yaani usiku mmoja bili ni zaidi ya hiyo lakitatu.wanajipangia bei wanavyotaka.na ukiwa na bima ukiwaonyesha hawakuudumi utakufa unajiona.naomba serikali mlitazame kwa hilo.
Usieleze kitaalamu, uzezeta, unakuwaje ielezea tu kawaida zezeta anaumwaje.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Jambo hili limenisikitisha sana. Hili suala hata kuna baadhi ya maeneo morogoro walipiga dawa DDT hapo zamani.watafiti wetu wa mabwana shamba cjui wanafanya nini.ilitakiwa wao ndo watoe elimu kuhusu ardhi gani inafaa kulima mihogo ila wanakaa ofcn tu.umenena kweli kilimanjaro ardhi haifai kwa mihogo sababu mm ni muhanga wa kifo mama yangu alienda kununua mihogo soko la mwika jioni.basi acbuhi alikaanga tukala vizuri na chai ila ilikuwa michungu mm mama na wajuku zake wawili yaani watoto wangu nikaelekea job.kufika jion nikapigiwa cm watoto wanaumwa wanatoa mapovu mdomoni ilibidi awatafutie (mapolo) kinyesi cha ng'ombe chenye mchanganyiko wa mkojo hii inasaidia kama dawa pindi unapohisi mtu amemeza sumu aliwanywesha lakini hali ikawa mbaya zaidi ilibidi wakimbizwe hospitali ya marangu kitemboni fasta wakatundukiwa dripu na madawa hyo ndo ilikuwa pona yao.uzuri wa moshi kumejaa hospitali nyingi jirani kila kona ingekuwa mikoa mingine huko vijijini ungekuta nilishawapoteza wote kwa mpigo.japo bili ilikuwa kubwa ni zaidi ya 300000 hyo ndo shida ya hosptali za tasisi yaani usiku mmoja bili ni zaidi ya hiyo lakitatu.wanajipangia bei wanavyotaka.na ukiwa na bima ukiwaonyesha hawakuudumi utakufa unajiona.naomba serikali mlitazame kwa hilo.
Nilivyoelewa, kula mihogo mibichi kuna madhara, ila ikipikwa ile sumu inaondoka. Itakuwa hata ikikauka sumu inaondoka.Mi nimekua kahama uko.. mihogo nimekula sana na sijawa zezeta... Mihogo mkomboz wa jamii nying sana... Hii tafiti ya pdf
Parachichi, haliwezi kuwa sawa na mihogo, parachichi lenyewe ni laini hivyo mmengenyo wake ni rahisi ndiyo maana hamna maumivu ya tumbo, mihogo ina ugumu hivyo ukila mingi wakati wa mmengenyo (Digestion). Sumu ingesikia maumivu ya kichwa.Nilivyoelewa, kula mihogo mibichi kuna madhara, ila ikipikwa ile sumu inaondoka. Itakuwa hata ikikauka sumu inaondoka.
Naunga mkono hoja. Ukila mihogo mibichi mingi tumbo linaanza kuuma, lakini ukila maparachichi mengi tumbo haliumi ila unavimbewa tu! Tafsiri yake, kwenye mihogo mibichi kuna sumu, ila ikikauka sumu inapungua!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Ni sehemu gani za huko Morogoro kwenye athari za DDT?Jambo hili limenisikitisha sana. Hili swala hata kuna baadhi ya maeneo morogoro walipiga dawa DDT hapo zamani. Zile sumu mpaka Leo hii bado ziko ardhini kuna watu wanazaliw na ulemavu ma matatizo makubwa ya kiafya. Mtoto anazaliw leo unakuta ana kisukari. Mpaka unajiuliza inakuwaje kumbe tunakula sumu mbaya sana. .
Kweli kuna haja ya serikali kutazama hili kwa jicho la tatu. .
Cyanide ya kwenye mihogo mibichi huleta shida ya machoMihogo inaongeza hamu ya kunyanduana mbichi sijui Kuna mechanism Gani ,ukila hiyo mtalimbo unaweza toboa bukta,nikiwa mbali na wife siku hizi sili
Aisee unanipa kazi ya kukutafutia ila hili swala limefanyiw research na watu wengi sana lilikuw reported kipindi cha nyuma mpak ITV that's how I came to know. .Ni sehemu gani za huko Morogoro kwenye athari za DDT?