Mkuu mjanja,Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.
Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako.
Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka malinda yako rehani, na wakati unaweza kununua malaya mwengine ambae hautokuwa na wasiwasi kuwa nae?
Kijana badilika!
Ni heri uzini na malaya wa kawaida kuliko kuzini na malaya alie ndani ya ndoa.
Malaya aliendani ya ndoa ni mbaya sana na atakuletea matatizo.
Propaganda ya hamsini kwa hamsini imepunguza wanaume wengi sana!Mkuu mjanja,
Hizo ni tamaduni za mfumo dume kwamba mwanamke akizaa nje ya ndoa ni Malaya ila mwanaume anapewa pongezi.
Si vitabu vya dini wala sheria hili suala si sawa hata kidogo.
mwanamke anayezini nje ya ndoa yake anaendana na mwanaume anayezini nje ya ndoa yake.
Mkuu sang’udi ,Propaganda ya hamsini kwa hamsini imepunguza wanaume wengi sana!
Kamwe mwanaume hawezi kuwa sawa na mwanamke: kihistoria, kibayolojia, kijamii, kidini, kisiasa, kiutamaduni, kimila, n.k.
Same applies kwenye sexuality na gender.
Kama mna utofauti wa maumbile, lazima mtatofautiana majukumu. Mnakuwa sawa kama mnafanana kwa kila kitu.Mkuu sang’udi ,
Hizo ni tamaduni walizokuwa nazo wazee wetu, mwanamke alikuwa ni kama mtumwa na ni mali ya mume wake.
Dunia inapitia mabadiliko.
Ni sababu tulishaaminishwa hivyo, mwanamke ni kiumbe chenye hisia kama tulivyo sisi wanaume
sasa unafahamu dhana nzima ya 50/50?
Mkuu,Kama mna utofauti wa maumbile, lazima mtatofautiana majukumu. Mnakuwa sawa kama mnafanana kwa kila kitu.
Mwanaume kuwa breadwinner siyo utumwa. Mwanamke kubeba mimba na kuzaa siyo utumwa.
Usikubali kuwa brainwashed na hawa vibaraka wa mabeberu wanaolipwa kuharibu ustawi wa familia na taifa kwa ujumla
Pole mwanaume, Pole sana ndugu,Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.
Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako.
Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka malinda yako rehani, na wakati unaweza kununua malaya mwengine ambae hajaolewa na hautokuwa na wasiwasi kuwa nae?
Kijana badilika!
Ni heri uzini na malaya wa kawaida kuliko kuzini na malaya alie ndani ya ndoa.
Malaya aliendani ya ndoa ni mbaya sana na atakuletea matatizo.
Dhana ya hamsini kwa hamsini ni mchakato wa kuleta usawa, kuondoa ubaguzi na upendeleo wa fursa kati ya mwanaume na mwanamke.Mkuu,
Nilikuuliza unafahamu dhana nzima ya 50/50?
Unafikiri Kwanini miaka hiyo wanawake walikuwa wakichukuliwa kama watumwa na hata katika hesabu wasiwepo?
Mkuu,
Ungefahamu dhana nzima kwanza ya 50/50 je unaifahamu?