dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Usitake kunikumbuka member wa jf jind tulivyo peana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hayupo mwanamke wa kukuwekea peke yako. Kama unabisha muulize kwa upole mpenzi wako atakuambia.Ukibahatika mke/mwanamke wa kukuwekea peke yako mshukuru Mungu wako.
Wangu ananiwekea peke yanguHayupo mwanamke wa kukuwekea peke yako. Kama unabisha muulize kwa upole mpenzi wako atakuambia.
Huyo ni malaya Ila password yake hujaipata tu. Siku ukiipata utamkimbia.Wangu ananiwekea peke yangu
Je na sisi mafundi bomba / ujenzi mnatuachaga na wake zenu nyumbani.Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.
Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako.
Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka malinda yako rehani, na wakati unaweza kununua malaya mwengine ambae hajaolewa na hautokuwa na wasiwasi kuwa nae?
Kijana badilika!
Ni heri uzini na malaya wa kawaida kuliko kuzini na malaya alie ndani ya ndoa.
Malaya aliendani ya ndoa ni mbaya sana na atakuletea matatizo.
Ila wewe kutukana watu kila ukijisikia ni haki kwakoKwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.
Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako.
Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka malinda yako rehani, na wakati unaweza kununua malaya mwengine ambae hajaolewa na hautokuwa na wasiwasi kuwa nae?
Kijana badilika!
Ni heri uzini na malaya wa kawaida kuliko kuzini na malaya alie ndani ya ndoa.
Malaya aliendani ya ndoa ni mbaya sana na atakuletea matatizo.
Ndio wazuri, wanatoa nyuma sana.Kwa tamaduni zetu mwanamke anaefanywa na wanaume zaidi ya mmoja anatambulika kuwa ni mwanamke malaya.
Kijana unayekula mke wa mtu tambua kuwa unafanyana na mwanamke malaya, na malaya huyo usipokuwa makini atakuponza kwa tamaa zako.
Kijana kwanini ufanye mapenzi na malaya ambae anayaweka malinda yako rehani, na wakati unaweza kununua malaya mwengine ambae hajaolewa na hautokuwa na wasiwasi kuwa nae?
Kijana badilika!
Ni heri uzini na malaya wa kawaida kuliko kuzini na malaya alie ndani ya ndoa.
Malaya aliendani ya ndoa ni mbaya sana na atakuletea matatizo.
Thamani ya mwanaume inapungua kulingana na idadi ya wanawake alio zini nao na inapungua zaidi kwa kudate na mke wa mtu hata kama uwe unaheshimika vipiMkuu mjanja,
Hizo ni tamaduni za mfumo dume kwamba mwanamke akizaa nje ya ndoa ni Malaya ila mwanaume anapewa pongezi.
Si vitabu vya dini wala sheria hili suala si sawa hata kidogo.
mwanamke anayezini nje ya ndoa yake anaendana na mwanaume anayezini nje ya ndoa yake.
Sahihi KbsaMkuu mjanja,