min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
NomaMtani, watanzania tunakula ovyo sana. Popote na mazingira yoyote tunakula tu, hatuangalii kitu zaidi ya kushibisha matumbo yetu. Hatari sana hii.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NomaMtani, watanzania tunakula ovyo sana. Popote na mazingira yoyote tunakula tu, hatuangalii kitu zaidi ya kushibisha matumbo yetu. Hatari sana hii.
Kitabu ganiNimesoma vitabu mkuu
Nipo serious sana na maisha mkuu, manii ni protini na kalori nyingi sana na sayansi haijasema kama kuna tatizo lolote kumeza shahawa.We mkuu kweli haupo serious na maisha,watu wanadiriki kula manii ambazo hawajui hata mtu yupo na magonjwa mangapi aliyoambukizwa au ya kurithi...unasema msosi!?
Watameza dawa bhana
Kinaitwa WANAWAKE WANAVYOJITOA MHANGA🥴Kitabu gani
Sawa mkuu,ngoja kazi iendelee kumbe ni protini✌️Nipo serious sana na maisha mkuu, manii ni protini na kalori nyingi sana na sayansi haijasema kama kuna tatizo lolote kumeza shahawa.
Nazungumzia kula vyakula ambavyo kwa hakika mazingira yake ni mabaya, maandalizi yake yamegubikwa na uchafu ila watanzania hawajali, ni umasikini au kutokujali?
NitumieKinaitwa WANAWAKE WANAVYOJITOA MHANGA🥴
kwenye pitapita zangu oneday nikakuta maza mihogo mmoja anatokwa jasho huku anaikaanga ile nasonga si akajifuta jasho likachuruzika kwenda kwenye mihogo asee, nikajua sehemu nyingi za public food sio salama ila ndio basi tu tunakula, kula lazima kuoga hiariMtu wa hivi ni mlaku, yaani anakula popote akikaribishwa? Ujamaa unatusaidia sana ila tuchukue tahadhari. Watu wanaanza kuharibika taratibu.
Na hii hasa ndio hoja yangu mkuu, ona sasa usiku mzima hujalala kisa umekula kachumbari chafu. Bora hata hiyo nyama ilikuwa inatoka kwenye moto, ni aibu sana karne hii nchi inapambana na kipinduapindua.Du juzi kati nikaenda sehemu kula kitimoto. Kitimoto Iko vizuri kwelikweli ila ikawekwa na kachumbari. Kwakweli kitu kinachoitwa kachumbari na juisi za kutengeza mtaani nilishajipiga marufuku kuvitumia. Ndio nikajichanganya nikabugia na Ile kachumbari, usiku mzima nimeshinda chooni.
Unajua bado hygiene Iko chini Sana Kwa waandaaji wa vyakula, mfano kachumbari mara nyingi haipiti kwenye moto, sasa muandaaji katika chooni huko kujitawaza na Wala hajanawa vizuri mikono kaibukia kukatakata kachumbari au matunda ya juice.
🤣🤣🤣Unanitafuta?Nitumie
Yanawezekana, watu wana misongo sana siku hiziBongo? Mass serial killer kwa food poisoning?
Umetumia mfano mkubwa very unrealistic. Yes kuna risk - ila sio hiyo.
Wewe unasema watu wanakula manii , kwamba wamezagaa barabarani wanakula na kila mtu anawaona ? Kama hapana ni chumbani wewe umejuaje?🤣🤣🤣Unanitafuta?
Sasa hayo ni mazingira walau umeona mihogo inakaangwa, mkuu tunakula kuku wanaotembezwa mitaani, unachagua kidari chako, anamimina sauce/pilipili unabugia na juice yako iliyotengenezwa huko nyumbani na maji hata hujui machafuje...kwenye pitapita zangu oneday nikakuta maza mihogo mmoja anatokwa jasho huku anaikaanga ile nasonga si akajifuta jasho likachuruzika kwenda kwenye mihogo asee, nikajua sehemu nyingi za public food sio salama ila ndio basi tu tunakula, kula lazima kuoga hiari
Hao wavimba macho ngoja wafukuzwe tu na wenyewe walizifungia mitandao ya kijamii ya Marekani kama Facebook, Twitter, Instagram, U-tube nk sasa wanafikiri wengine ni wajinga.
Unakuta mtu anamsongo wa mawazo kibao, mshahara mdogo, vikoba na madeni yamemuandama, mara mapenzi uchwara yanachanganya. Huyu mtu hawezi kuwa serious kujali afya za wengine ndio maana ni nadra sana kunikuta nakula migahawaniNa hii hasa ndio hoja yangu mkuu, ona sasa usiku mzima hujalala kisa umekula kachumbari chafu. Bora hata hiyo nyama ilikuwa inatoka kwenye moto, ni aibu sana karne hii nchi inapambana na kipinduapindua.
Haujanikosea ila dhaania kama hiyo tu inatosha kuvunja ndoa mchana kweupe.
🤣🤣Am sorry,sirudii kurukia mada za watu kwa kweli🙉Haujanikosea ila dhaania kama hiyo tu inatosha kuvunja ndoa mchana kweupe.