Kula ovyo kutakuja kutuathiri sana siku moja

We mkuu kweli haupo serious na maisha,watu wanadiriki kula manii ambazo hawajui hata mtu yupo na magonjwa mangapi aliyoambukizwa au ya kurithi...unasema msosi!?

Watameza dawa bhana
Nipo serious sana na maisha mkuu, manii ni protini na kalori nyingi sana na sayansi haijasema kama kuna tatizo lolote kumeza shahawa.

Nazungumzia kula vyakula ambavyo kwa hakika mazingira yake ni mabaya, maandalizi yake yamegubikwa na uchafu ila watanzania hawajali, ni umasikini au kutokujali?
 
Du juzi kati nikaenda sehemu kula kitimoto. Kitimoto Iko vizuri kwelikweli ila ikawekwa na kachumbari. Kwakweli kitu kinachoitwa kachumbari na juisi za kutengeza mtaani nilishajipiga marufuku kuvitumia. Ndio nikajichanganya nikabugia na Ile kachumbari, usiku mzima nimeshinda chooni.
Unajua bado hygiene Iko chini Sana Kwa waandaaji wa vyakula, mfano kachumbari mara nyingi haipiti kwenye moto, sasa muandaaji katika chooni huko kujitawaza na Wala hajanawa vizuri mikono kaibukia kukatakata kachumbari au matunda ya juice.
 
Sawa mkuu,ngoja kazi iendelee kumbe ni protini✌️
 
Mtu wa hivi ni mlaku, yaani anakula popote akikaribishwa? Ujamaa unatusaidia sana ila tuchukue tahadhari. Watu wanaanza kuharibika taratibu.
kwenye pitapita zangu oneday nikakuta maza mihogo mmoja anatokwa jasho huku anaikaanga ile nasonga si akajifuta jasho likachuruzika kwenda kwenye mihogo asee, nikajua sehemu nyingi za public food sio salama ila ndio basi tu tunakula, kula lazima kuoga hiari
 
Du juzi kati nikaenda sehemu kula kitimoto. Kitimoto Iko vizuri kwelikweli ila ikawekwa na kachumbari. Kwakweli kitu kinachoitwa kachumbari na juisi za kutengeza mtaani nilishajipiga marufuku kuvitumia. Ndio nikajichanganya nikabugia na Ile kachumbari, usiku mzima nimeshinda chooni.
Unajua bado hygiene Iko chini Sana Kwa waandaaji wa vyakula, mfano kachumbari mara nyingi haipiti kwenye moto, sasa muandaaji katika chooni huko kujitawaza na Wala hajanawa vizuri mikono kaibukia kukatakata kachumbari au matunda ya juice.
Na hii hasa ndio hoja yangu mkuu, ona sasa usiku mzima hujalala kisa umekula kachumbari chafu. Bora hata hiyo nyama ilikuwa inatoka kwenye moto, ni aibu sana karne hii nchi inapambana na kipinduapindua.
 
kwenye pitapita zangu oneday nikakuta maza mihogo mmoja anatokwa jasho huku anaikaanga ile nasonga si akajifuta jasho likachuruzika kwenda kwenye mihogo asee, nikajua sehemu nyingi za public food sio salama ila ndio basi tu tunakula, kula lazima kuoga hiari
Sasa hayo ni mazingira walau umeona mihogo inakaangwa, mkuu tunakula kuku wanaotembezwa mitaani, unachagua kidari chako, anamimina sauce/pilipili unabugia na juice yako iliyotengenezwa huko nyumbani na maji hata hujui machafuje...
 
Bongo? Mass serial killer kwa food poisoning?

Umetumia mfano mkubwa very unrealistic. Yes kuna risk - ila sio hiyo.
Kwamba bongo haiwezekanai kuwa na serial killers, hatuko kisiwani mkuu. Yanayotokea duniani tunaona na kuiga.
 
Hao wavimba macho ngoja wafukuzwe tu na wenyewe walizifungia mitandao ya kijamii ya Marekani kama Facebook, Twitter, Instagram, U-tube nk sasa wanafikiri wengine ni wajinga.

Na hii hasa ndio hoja yangu mkuu, ona sasa usiku mzima hujalala kisa umekula kachumbari chafu. Bora hata hiyo nyama ilikuwa inatoka kwenye moto, ni aibu sana karne hii nchi inapambana na kipinduapindua.
Unakuta mtu anamsongo wa mawazo kibao, mshahara mdogo, vikoba na madeni yamemuandama, mara mapenzi uchwara yanachanganya. Huyu mtu hawezi kuwa serious kujali afya za wengine ndio maana ni nadra sana kunikuta nakula migahawani
 
Back
Top Bottom