FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
FL1 unatutamanisha na huyo samaki
Mi ninavyojua mila za huko, samaki analiwa upande mmoja, ukifika kwenye mwiba wa kati huutoi ila unamgeuza na kuanza kula upande wa pili.
Duh samaki gani huyu mwenye kuliwa kwa mila na desturi mkuu? wa baharini au hawa wa nchi kavu? hahahaha
Wataalam wanadai samaki hageuzwi, bali unautoa ule mwiba wake wa kati, halafu unaendelea kumla.
Mmh jamani, I hope ni samaki yule yule wa majini ndio tunamzungumzia, isije ikawa kuna tafsida ndani yake!
kwa nini Dina..mi nimetoka bara ndo maana.....nilikuwa namgeuza tu ndo nimestuka...
KAZI YOTE YA NINI DINA UKIKUCHOMA WAKATI WA KUTOA?:gossip:
kwa nini Dina..mi nimetoka bara ndo maana.....nilikuwa namgeuza tu ndo nimestuka...
we nawe umo umo,mshaurini arudi bara huyu watampoteza.huyu shurti lake akiliwa upande mmoja unageuzia mwigine ..hata kichwa kinaliwa binamu ..ikiwezekana na mifupa kama meno yako ni meupe na yenye nguvu ..kwa raha zako
FL1 simlaumu mnene hata miye ningekuwa na papara nimgeuze tu alivo na mvuto sasa tabu inakuja kuwa ukimgeuza unaweza kuwa umeharibu!
Hata najua sababu basi, na wala sikuhangaika kuuliza. Mind you 'wataalam' siyo wa kisayansi, ni walaji tu wa samaki. Tena wengine wanatafuna na mwiba wenyewe, ila 'don't try at home', unless ni mlaji mzuri wa hao samaki wenyewe!
wewe ni mtaalam haswa,kwa maelezo haya naomba uje unifundishe kivitendo maana hata mimi naona geuza geuza waweza chelewa.Wataalam wanadai samaki hageuzwi, bali unautoa ule mwiba wake wa kati, halafu unaendelea kumla.
Mmh jamani, I hope ni samaki yule yule wa majini ndio tunamzungumzia, isije ikawa kuna tafsida ndani yake!
ila hapa binam hujafafanua...wewe ni samaki yupi ulikuwa unataka kumla, kwa sababu kuna lobster, pweza, changudoa, ngadu n.k na kila mmoja ana ulaji wake...hebu tupe mmoja tuhangaike nae
ila hapa binam hujafafanua...wewe ni samaki yupi ulikuwa unataka kumla, kwa sababu kuna lobster, pweza, changudoa, ngadu n.k na kila mmoja ana ulaji wake...hebu tupe mmoja tuhangaike nae
nadhani anamzungumzia samaki changu au tasi,hao wengine uliowataja huwa hawana kazi kuliwa.ila hapa binam hujafafanua...wewe ni samaki yupi ulikuwa unataka kumla, kwa sababu kuna lobster, pweza, changudoa, ngadu n.k na kila mmoja ana ulaji wake...hebu tupe mmoja tuhangaike nae
hommie una kesi ya kujibu!
duh apo nimesoma katikati ya mstari nadhaninaanza kuelewa elewa........
naomba somo jinsi ya kula hao wawili kwenye RED hapo!