he he he Stay tuned will PM U soonnovember juliet oscar oscar november yank uniform mike bravo alfa november india november india kilo uniform papa india kilo india echo
ha ha ha haaa,watu mnachekesha hapa:smile-big:kaizer,
hivi dagaa nao ni samaki?
Haa haa, hasa si ndio tunatafuta ufundi wa kumla huyo samaki? kama ni yule mwenye mwiba unaoonekana, unatoka vizuri tu wala hauna shida.....Though I don't practice what I preach, nakula penye mnofu nnapopaona, uongo?
mle vyovyote upendavyo mradi usibakiwe na shombo!!
ukitaka kumnla samaki start with the eyes! ha ha ha:hug:Weka wazi basi... Amgeuze au?
Hivi samaki ni amphibia au reptilia?
Kwanza nianzie hapo....!
november juliet oscar oscar november yank uniform mike bravo alfa november india november india kilo uniform papa india kilo india echo
naombeni ushauri njia ipi bora ya kumla samaki hasa katika mazingira hayo?: