Kula Uliwe .....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Kula Uliwe .....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Sisi wa bara tukila huo kachakula,,hata jembe hatuwezi nyenyua hakaleti hata tunguvu,,
 
Tangulia bafuni kwanza nikukogeshe halafu mengine yatafuata kulingana na utashi wa ngozi zetu zitavokuwa.....

Zikitaka tule kwanza tutakula, zikitaka tulishane pia itakuwa....[emoji28].

View attachment 1714975
Weee Kasie mahaba weee!!

Af unajua sikuhizi nimetemgeneza imagination mpya nakuona kama Mbilia bel(yule mwimbaji)..unamjua?,if yes,niko karibu asilimia ngapi?
 
Huyo ni machinga, bado anatafuta maisha hafai kujihusisha na mapenzi hadi akikuwa na kuongeza kiwango cha kuhonga.


Ila kwa upande wangu, hakuna utamu naupata kama nikitongozwa na nikihongwa hela uuuuhhh [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Hhhhh hapana kwa kweli wengine hatuna hela ya kuhonga
 
Weee Kasie mahaba weee!!

Af unajua sikuhizi nimetemgeneza imagination mpya nakuona kama Mbilia bel(yule mwimbaji)..unamjua?,if yes,niko karibu asilimia ngapi?


Daaaahhh......!!!!! πŸ˜ƒ



Kuna mtu ashaunguza picha mahala.....!

Well, hauko mbali sana, mulemule na avatar πŸ€“.
 
Ndo kwaanzaaaa tarehe moja....

Mwezi bado mchangaaaa...!

Ndo kwaanzaaaa jumatatu, wiki imeanza hiviii.....

View attachment 1714950

Laaambwaaa laaambwaaaa

Lambwatikaaaaa....

Maharage yako jikoni nimeshayapika....

Nangojea sukari ya bwana, haijafikaaa.

Songea taratibu babaa, utakuta kila kitu tayari.

Kwa Hisani ya Mahadhi ya Pwani [emoji6]

Kasinde Matata [emoji182].
Naona mboga leo imeseti mboga
 
Back
Top Bottom