Kula Uliwe .....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Hujakosea hata.....

Ni ubwabwa usio na mafuta wala chumvi
Na umeiva kwa mvuke, haujatiwa maji hata kidogo.

Kuna wenye fani zao, mapishi. Mie napika kwa nadra sana walau gesi isije ikaeksipaya kabla sijaipikia [emoji12].
Ohoooo Aya Mama !!
 
Msosi huo
 
Aahahahahahhahaa

Usiniambie umemshindwa.....

Kuna mawili, nimrudishe mjukuu unyagoni au nikirudishe wewe jandoni kwa babu ODM Asprin πŸ€ͺ.
Mrudishe binti yetu tumtafutie mwanaume mwingine wa kafanana naye...

BTW... mwambie kabisa huyo mzembe... haturudishi hata senti moja ya kishika uchumba
 
Chakula kilikuwa kitamu ila hakizidi mpishi!
 
Kwetu sisi ni takataka, tunakula Ugali wa udaga na Sato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…