Kula Uliwe .....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Kula Uliwe .....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Mrudishe binti yetu tumtafutie mwanaume mwingine wa kafanana naye...

BTW... mwambie kabisa huyo mzembe... haturudishi hata senti moja ya kishika uchumba

Ujumbe ameupata babu.
 
Chakula kilikuwa kitamu ila hakizidi mpishi!

Bataringaya,

Nimeenda uhindini leo kutafuta mabungo nikuletee. Sikuyakuta badala yake nimeishia kununua Zambarau...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

FBC4EAA7-F390-4C5F-8232-03F8070E2BCC.jpeg

Aluta...... Kontinua...... πŸ˜‹

Siku yako ya kuzaliwa ntakupikia matoke na Sato.

Hii ni yako spesheli, unikumbushe wiki moja kabla.

Ukiongelea utamu ulioupata unaongeza foleni mlangoni ujue 😜.
 
Aahahahahahhahaa

Usiniambie umemshindwa.....

Kuna mawili, nimrudishe mjukuu unyagoni au nikirudishe wewe jandoni kwa babu ODM Asprin πŸ€ͺ.
Hiyo jando ingekuwa wewe ningeendaπŸ˜‚πŸ˜‚

Sema huyo mzee atabaki na nani sasa....
 
Kitu cHa boko boko kwa mbaliiii sanaaaaaa

Wewe ndo unamacho sasa.....

Kwa sie vibogoyo hapo namung’unya tuu πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Utamu naenda kuusikilizia kitandani 😜.
 
Ndo kwaanzaaaa tarehe moja....

Mwezi bado mchangaaaa...!

Ndo kwaanzaaaa jumatatu, wiki imeanza hiviii.....

View attachment 1714950

Laaambwaaa laaambwaaaa

Lambwatikaaaaa....

Maharage yako jikoni nimeshayapika....

Nangojea sukari ya bwana, haijafikaaa.

Songea taratibu babaa, utakuta kila kitu tayari.

Kwa Hisani ya Mahadhi ya Pwani πŸ˜‰

Kasinde Matata πŸ’‹.
Ikiwa kwa mkeo au mchepuko!! Ukiona kamsosi kadogo kazuri kana mapambo meengi!! kama haka mwanaume stuka , nakwambia tena stuka!! sijakosea!! ile kusema tu haaa!!

''Mmmm! mbona msosi umepambwa vizuri hivi?? ndo mambo ya limbwata nini???'' km amefanya kitu humo chakulani!! heee!!! hilo limbwata limevia halifanyi kazi tena!! tena huyo mwanamke atakuchukia milele!! si kawaida. jaribuni!!!!

nitawafundisha jinsi ya kuzindika jiko.
 
It’s all about being passionate with food.
 
Daah kuna hali nilikuwa siielewi imebidi nije kutest mitambo hapa....!!

Uuuuppppssss.....πŸ₯΅πŸ₯΅
 
Back
Top Bottom