Yudatade Edesi Shayo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 2,903
- 4,334
Jack hawezii kufa njaa kwa sababu ya wale mpacha wana equal right kama wakina regina na abidiel ila sasa kutaka kuchukua kampuni zote hapo ndo kala wachuya asubiri rudhuku na gawio kila mwisho wa mwaka pia ...ni director pale itv so analipwa
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Mama joyce ni mkurugenzi wa uendashaji, wa itv na radio one ila CEO ni dada huyo ndio maan kulikuwa na malalamiko kuwa nafukuza kazi sana watu aliwakuta nawaliotoa kampuni mbalidirector ITV ni mama Joyce Mhavile huyo Klyn Na dada ake walikua wanasimamia dr Mengi Foundation hiyo walipewa kama urithi wao [emoji28][emoji28][emoji28]kwa hiyo hana kazi tena pale ya kufanya naona na wadau wamegoma kuchangia hiyo foundation kwa Sababu inaongozwa na wapigaji dada na ndogo wake
Kama ile foundation ingekua inasimamiwa na mke original ( Mama Mercy) au watoto wa marehemu ingeleta Mvuto Na heshima na wadau wangechangia
Mama joyce ni mkurugenzi wa uendashaji, wa itv na radio one ila CEO ni dada huyo ndio maan kulikuwa na malalamiko kuwa nafukuza kazi sana watu aliwakuta nawaliotoa kampuni mbali
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Niwapongeze kwa kubadili contents za hu mada, maana ilikuwa ya umbeaAu akupeleke kwao na wakwe wakusute Kiingereza, duniani tumeumbiwa mateso.
Furniture ipi hiyo? Iliisha leo? HuhuhuhIna maana hujui kama ana kiwanda cha furniture?
kwani huyo mo dewdi hana ke. flaviana nae ndoa ilikufa lini
Heee kumbe haipo tena?Furniture ipi hiyo? Iliisha leo? Huhuhuh
Hata yeye muhusika ameshasahau km alishawah kuwa na kiwanda cha furniture,Heee kumbe haipo tena?
Hahaaa eti guest ya panga boiAmalize tu kutapanya mpunga wa The late mengi then Arudi mzigoni kuwinda mana Hao type ya kina jaq wenyewe ni wanajiona classic sana unawakuta na vinote book vyao na Files za kuzugia Hyatt Regency au Sea cliff wanazuga zuga tu kuwinda wanasahau age nayo inasogea sasa ivi mtu kama wema ata 300k huwezi kutoa tena
Wakati kipindi chake cha peak bila 1M above na Hotel ya kuanzia 3 stars kwenda juu hatoi uchi now ata Guest yenye panga boy juu unakamua tu hata kwa 100k
😂😂Umbea tu
Kulalekiii😂Inaweza kuwa ina sound hivyo lakini sasa mwenye mali baba ndio amachagua hapo.......ndio mama huyo tana
Sema huyu demu naye mshamba sana unaishi na mzee kama yule na unaona kabisa jua limeisha chwea unashindwaje kumpanga ukawa na miradi yako pembeni ya maana hata likizama basi unaendelea na maisha vizuri wakati unadai urithi wa mumeo
Kakaa kiboyo sasa hivi hata hela ya mafuta kwa gari mtihani hadi wakina Regina wamfikirie
Anaishia kulia lia kwenye media wakati nafasi kaichezea mwenyewe
Golddigger gani kolo namna hii
Shida biashara yake Ali target high class people lazima tu idorore, tofauti na kuanzisha biashara inayotumiwa na watu wengi
Sikuhizi hata hela ya saluni inamsumbua, ingetakiwa awe mjanja kutafta miradi yake pembeni na sio kutegemea ku temper Mambo ya urithi, na mbaya zaidi alichokosea Ni kusambaza hyo mirathi na kuwachafuq watoto wakubwa wa mengi, na sikuhizi anatoka na Mo dewji loh namhurumia kweli
Utatajulia wapi wakati uko kijijini hao mastaa unawaonea Instagram.Hii chai
Eti unamjua aunt ezekiel. Acha ujinga dogo.Acha kusoma story za mtandaoni, na uache umbea pia...ninamjua aunty ezekiel, long way kabla hajampiga chini jacky pemba, huwezi kumtomba kwa laki, kwanza huwezi kumtomba kama hajakuelewa
Nikajua kuna cha maana unachotaka kuongea kumbe na wewe njaa tu inakusumbuaKatika Interview ya Jacky & Millard ayo, Jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyu Jacky mengi hata kuweka hela ya mafuta na service kwenye range yake au v8 yake anamtegemea Regina atume hela ya watoto kila mwezi na yeye achukue hapo chake. Ingawa Jacky ndio anawasema vibaya akina Regina mitandaoni na mdogo wa mengi Mr. Benjamin.
Siku Regina na Abdiel wakikata mirija ya pesa inayoenda kwa Jacky, bhasi baada ya miaka mitano itabidi Jacky aanze kupanda daladala.