Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Kula ya Jacqueline Mengi hapa mjini inamtegemea Regina na Abdiel Mengi

Jack hawezii kufa njaa kwa sababu ya wale mpacha wana equal right kama wakina regina na abidiel ila sasa kutaka kuchukua kampuni zote hapo ndo kala wachuya asubiri rudhuku na gawio kila mwisho wa mwaka pia ...ni director pale itv so analipwa

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app

director ITV ni mama Joyce Mhavile huyo Klyn Na dada ake walikua wanasimamia dr Mengi Foundation hiyo walipewa kama urithi wao 😅😅😅kwa hiyo hana kazi tena pale ya kufanya naona na wadau wamegoma kuchangia hiyo foundation kwa Sababu inaongozwa na wapigaji dada na ndogo wake

Kama ile foundation ingekua inasimamiwa na mke original ( Mama Mercy) au watoto wa marehemu ingeleta Mvuto Na heshima na wadau wangechangia
 
director ITV ni mama Joyce Mhavile huyo Klyn Na dada ake walikua wanasimamia dr Mengi Foundation hiyo walipewa kama urithi wao [emoji28][emoji28][emoji28]kwa hiyo hana kazi tena pale ya kufanya naona na wadau wamegoma kuchangia hiyo foundation kwa Sababu inaongozwa na wapigaji dada na ndogo wake

Kama ile foundation ingekua inasimamiwa na mke original ( Mama Mercy) au watoto wa marehemu ingeleta Mvuto Na heshima na wadau wangechangia
Mama joyce ni mkurugenzi wa uendashaji, wa itv na radio one ila CEO ni dada huyo ndio maan kulikuwa na malalamiko kuwa nafukuza kazi sana watu aliwakuta nawaliotoa kampuni mbali

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Mama joyce ni mkurugenzi wa uendashaji, wa itv na radio one ila CEO ni dada huyo ndio maan kulikuwa na malalamiko kuwa nafukuza kazi sana watu aliwakuta nawaliotoa kampuni mbali

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app

kyln hajawai kua na nguvu ya kumfukuza mtu kazi hacha Kumpaisha kwa story za kusikia vijiweni , Nina uhakika mara ya mwisho ameingia ITV labda wakati anaimba kwenye interview hajui hata kunafananaje
 
Amalize tu kutapanya mpunga wa The late mengi then Arudi mzigoni kuwinda mana Hao type ya kina jaq wenyewe ni wanajiona classic sana unawakuta na vinote book vyao na Files za kuzugia Hyatt Regency au Sea cliff wanazuga zuga tu kuwinda wanasahau age nayo inasogea sasa ivi mtu kama wema ata 300k huwezi kutoa tena
Wakati kipindi chake cha peak bila 1M above na Hotel ya kuanzia 3 stars kwenda juu hatoi uchi now ata Guest yenye panga boy juu unakamua tu hata kwa 100k
 
Hahaaa eti guest ya panga boi
 
Inaweza kuwa ina sound hivyo lakini sasa mwenye mali baba ndio amachagua hapo.......ndio mama huyo tana

Sema huyu demu naye mshamba sana unaishi na mzee kama yule na unaona kabisa jua limeisha chwea unashindwaje kumpanga ukawa na miradi yako pembeni ya maana hata likizama basi unaendelea na maisha vizuri wakati unadai urithi wa mumeo

Kakaa kiboyo sasa hivi hata hela ya mafuta kwa gari mtihani hadi wakina Regina wamfikirie
Anaishia kulia lia kwenye media wakati nafasi kaichezea mwenyewe
Golddigger gani kolo namna hii
Kulalekiii😂
 
Shida biashara yake Ali target high class people lazima tu idorore, tofauti na kuanzisha biashara inayotumiwa na watu wengi

Kabisa biashara uki target matajiri tu mmh haswa ya furniture itakudodea tu walau restaurant... maana furniture matajiri wengi wananunua nje yeue furniture zake zilikua zinafika mpaka 30M
 
Sikuhizi hata hela ya saluni inamsumbua, ingetakiwa awe mjanja kutafta miradi yake pembeni na sio kutegemea ku temper Mambo ya urithi, na mbaya zaidi alichokosea Ni kusambaza hyo mirathi na kuwachafuq watoto wakubwa wa mengi, na sikuhizi anatoka na Mo dewji loh namhurumia kweli

Yeye akili ya biashara haya na pia watu wakumbuke biashara ni kipaji kama huna hicho kipaji hata upewe mabilioni yatakufa tu.. ingekua ni mimi nina akili kama hizo zake ninge invest tu kwenye property tu angekua na apartment zake kama 20 ligorofa limoja bs anakusanya kodi biashara haina upasua kichwa na ufatiliaji rahisi
 
Acha kusoma story za mtandaoni, na uache umbea pia...ninamjua aunty ezekiel, long way kabla hajampiga chini jacky pemba, huwezi kumtomba kwa laki, kwanza huwezi kumtomba kama hajakuelewa
Eti unamjua aunt ezekiel. Acha ujinga dogo.

Sasa nani hamjui Huyo aunt ezekiel.
 
Katika Interview ya Jacky & Millard ayo, Jack alisema watoto wakubwa wanaendesha makampuni ya zamani, IPP media na bonite na ndo makampuni yenye hela nyingi, bhas inaonekana huyu Jacky mengi hata kuweka hela ya mafuta na service kwenye range yake au v8 yake anamtegemea Regina atume hela ya watoto kila mwezi na yeye achukue hapo chake. Ingawa Jacky ndio anawasema vibaya akina Regina mitandaoni na mdogo wa mengi Mr. Benjamin.

Siku Regina na Abdiel wakikata mirija ya pesa inayoenda kwa Jacky, bhasi baada ya miaka mitano itabidi Jacky aanze kupanda daladala.
Nikajua kuna cha maana unachotaka kuongea kumbe na wewe njaa tu inakusumbua
 
Back
Top Bottom