Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Ndoa ni upendo unaobakia baada ya kuchoka kingono
Hongereni Kwa kulala miguu minne,
Karibu kwenye no FapAsante japo bado sijaipata
Karibu kwenye no Fap
- hakuna kugonga, tunaita semen retention[emoji23][emoji23][emoji23] ndio nini icho nitoe ushamba
- hakuna kugonga, tunaita semen retention
bado hujakua kiakili, tufanye unasex mara nne kwa wiki na kila ukisex unatumia maximum masaa manne, utakuwa umetumia masaa 16 kwa wiki kusex, hujamaliza hata siku moja kimahesabu, sasa masaa 16 mara 4 utapata masaa 64 unayotumia kwa mwezi mzima ambayo kimakadirio tufanye ni siku 3 tu za mwezi mzima, ukizidisha mara 12 unapata siku 36 unazotumia kusex kwa mwaka mzima, assume umeishi na mkeo kwa miaka 30, utapata kimahesabu siku 1080 unazotumia kusex na mkeo kwa miaka 30, hiyo miaka mingine yote unafikiri mtakuwa mnafanya nn ikiwa unafikiria ndoa ni ngono tu, change
Mapaja yanajoto
Nishamaliza hapo unaona hii mvua sasaivi saa nane walio lala miguu minne ndio wanafaidi mmoja ana msogelea mwezie ndoa tamu
Achaneni na vijana wa ovyo wasio taka ndoa hao ndio wale wanaotak kuzibuana mitaro tu baada ya kwenda kuoa uko
Nchi hii ni ngumu kuendelea kwa sababu ya Mambo kama haya, watu wanawaza ngono tu, na mengineyo ya kipuuzi, sijui unaweza Nini huu ndio wako wa pili wa kipuuzi, licha ya ule ya wanaume wanaovaa miwani wachunguzwe
Kwani lazma ndoa?bila ndoa hatuwezi lala hiyo miguu mnne? Mbona uneshikilia sana ndoa?