Kulala miguu minne raha sana (ndoa tamu sana)

Kulala miguu minne raha sana (ndoa tamu sana)

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Nishamaliza hapo unaona hii mvua sasahivi saa nane walio lala miguu minne ndio wanafaidi mmoja ana msogelea mwezie ndoa tamu

Achaneni na vijana wa ovyo wasio taka ndoa hao ndio wale wanaotak kuzibuana mitaro tu baada ya kwenda kuoa uko.
 
bado hujakua kiakili, tufanye unasex mara nne kwa wiki na kila ukisex unatumia maximum masaa manne, utakuwa umetumia masaa 16 kwa wiki kusex, Hujamaliza hata siku moja kimahesabu, sasa masaa 16 mara 4 utapata masaa 64 unayotumia kwa mwezi mzima ambayo kimakadirio tufanye ni siku 3 tu za mwezi mzima,

ukizidisha mara 12 unapata siku 36 unazotumia kusex kwa mwaka mzima, assume umeishi na mkeo kwa miaka 30, utapata kimahesabu siku 1080 unazotumia kusex na mkeo kwa miaka 30.

Hiyo miaka mingine yote unafikiri mtakuwa mnafanya nn ikiwa unafikiria ndoa ni ngono tu, change
 
bado hujakua kiakili, tufanye unasex mara nne kwa wiki na kila ukisex unatumia maximum masaa manne, utakuwa umetumia masaa 16 kwa wiki kusex, hujamaliza hata siku moja kimahesabu, sasa masaa 16 mara 4 utapata masaa 64 unayotumia kwa mwezi mzima ambayo kimakadirio tufanye ni siku 3 tu za mwezi mzima, ukizidisha mara 12 unapata siku 36 unazotumia kusex kwa mwaka mzima, assume umeishi na mkeo kwa miaka 30, utapata kimahesabu siku 1080 unazotumia kusex na mkeo kwa miaka 30, hiyo miaka mingine yote unafikiri mtakuwa mnafanya nn ikiwa unafikiria ndoa ni ngono tu, change

Duh kweli una akili umepiga hesabu hivyo
 
Nishamaliza hapo unaona hii mvua sasaivi saa nane walio lala miguu minne ndio wanafaidi mmoja ana msogelea mwezie ndoa tamu

Achaneni na vijana wa ovyo wasio taka ndoa hao ndio wale wanaotak kuzibuana mitaro tu baada ya kwenda kuoa uko

Kwani lazma ndoa?bila ndoa hatuwezi lala hiyo miguu mnne? Mbona uneshikilia sana ndoa?
 
Nchi hii ni ngumu kuendelea kwa sababu ya Mambo kama haya, watu wanawaza ngono tu, na mengineyo ya kipuuzi, sijui unaweza Nini huu ndio wako wa pili wa kipuuzi, licha ya ule ya wanaume wanaovaa miwani wachunguzwe

Kumbe unakazi ya kupitia thread zangu zote haya ukimaliza njoo unipe ushauri niongeze wapi na nipunguze wapi
 
Back
Top Bottom