wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 25,190 Reaction score 27,434 Jan 18, 2023 #81 Mwachiluwi said: Ndoa ina raha yake family nikila kitu Click to expand... Hakuna mahusiano ni uelewa wa mume tuu amani ndani ya nyumba
Mwachiluwi said: Ndoa ina raha yake family nikila kitu Click to expand... Hakuna mahusiano ni uelewa wa mume tuu amani ndani ya nyumba
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Jan 18, 2023 Thread starter #82 mwandende said: Ndoa tamu ukiwa na Kazi ya kujipatia kipato, Bila kuwa na kazi, ndoa raha yake ni usiku tu, Ikifika asubuhi jasho litakutoka. Click to expand... Na ukiludi mke anakutuliza
mwandende said: Ndoa tamu ukiwa na Kazi ya kujipatia kipato, Bila kuwa na kazi, ndoa raha yake ni usiku tu, Ikifika asubuhi jasho litakutoka. Click to expand... Na ukiludi mke anakutuliza
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 25,258 Reaction score 48,589 Jan 18, 2023 Thread starter #83 wa stendi said: Hakuna mahusiano ni uelewa wa mume tuu amani ndani ya nyumba Click to expand... Hapo nimekupata
wa stendi said: Hakuna mahusiano ni uelewa wa mume tuu amani ndani ya nyumba Click to expand... Hapo nimekupata
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Jan 18, 2023 #84 Mwachiluwi said: Chukua ufanyie kazi Click to expand... Nipo Kundini/Ndoa i/chamani nautafuta mwaka wa nne sasa
Mwachiluwi said: Chukua ufanyie kazi Click to expand... Nipo Kundini/Ndoa i/chamani nautafuta mwaka wa nne sasa
Melki Wamatukio JF-Expert Member Joined May 3, 2022 Posts 6,156 Reaction score 10,974 Jan 21, 2023 #85 Tutakusubiri hadi siku utakayokuja kuuliza kama sheria ya kuachana mgawane mali pasu kwa pasu kama bado ipo
Tutakusubiri hadi siku utakayokuja kuuliza kama sheria ya kuachana mgawane mali pasu kwa pasu kama bado ipo
uroto JF-Expert Member Joined Jun 25, 2015 Posts 442 Reaction score 227 Jan 23, 2023 #86 MastaKiraka said: Ndoa ni upendo unaobakia baada ya kuchoka kingono Click to expand... Yah Dizasta alisema
MastaKiraka said: Ndoa ni upendo unaobakia baada ya kuchoka kingono Click to expand... Yah Dizasta alisema