wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Ndoa ina raha yake family nikila kitu
Hakuna mahusiano ni uelewa wa mume tuu amani ndani ya nyumba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndoa ina raha yake family nikila kitu
Ndoa tamu ukiwa na Kazi ya kujipatia kipato,
Bila kuwa na kazi,
ndoa raha yake ni usiku tu,
Ikifika asubuhi jasho litakutoka.
Hakuna mahusiano ni uelewa wa mume tuu amani ndani ya nyumba
Nipo Kundini/Ndoa i/chamani nautafuta mwaka wa nne sasaChukua ufanyie kazi
Yah Dizasta alisemaNdoa ni upendo unaobakia baada ya kuchoka kingono