Kulalamika kwa SGR kuhusu kuhujumiwa ni management failure!

Mr Chromium

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2020
Posts
2,761
Reaction score
3,835
Hii habari nimeiona wasafi.
Takukuru wameibua hujuma za wateja wanaokata ticket za masafa mafupi kisha wanasafiri masafa marefu!!

Kwanza ncheke😂😂😂😂
Ni kweli tumefikia huku yaani kaishu kadogo hivo hadi takukuru igundue Uongozi wa Treni haujajua?
Na kwwnini iwe ishu wakati ni vitu ambavyo huwa vinajulikana?

Kwa uzoefu wangu wa mabasi
Ukikata ticket njiana inaeleweka kituo fulani siti zitakua Empty maana abiria idadi fulani watashuka.
Kwaiyo mkata tiket mwingine wa kituo hiko anakata tiket ya hizo siti.

kwaiyo kama Kuna wizi lazima siti moja iwe na abiria watatu au wawili kitu ambacho lazima mwizi aonekane.

Plus kila kituo inajulikana idadi ya abiria wanaoshuka
Kila kituo inajulikana idaid ya abiria wanaopanga.

Kifupi hii ishu ya wizi wa kizamani hii sijawai iona miaka hii isipokua niliona kwene hizi gari za TATA hzi zinaendaga vijijini huko kusiko na rami hawa ndo wakogo zig zag!!

Labda mfumo gani mgumu ambao unafanya abiria awe mjanja kuliko wasimamizi.Mliopanda treni mniambie

NB: Yaliyopo hapa ni mawazo yangu binafsi hayanalengo la kukosoa wala kutuhumu.Kifupi nawaza kwa sauti.

View: https://youtu.be/EieA3JToNEc?si=2fh898kEEPlNaYrY
 
Au Iwape kampuni binafsi iwasimamie mapato
Mnapenda mingozi myeupe kama nini,wahindi wanalipana posho na shirika linakufa mchana kweupe,hebu nisaidie hao Wakiochukua Bandari tunapata nini mpaka sasa hatujui,tusipende kuwaamini watu weuoe ni wezi mno,angalia hoteli mlizowapa hao wazungu ziko wapi wameua,mnataka nini Wazee wa mbanga.
 
mkuu mbona sijasema kampuni binafsi za watu weupe!!
mbona kuna kampuni nyingi za kibongo mkuu
We mwenyewe unaweza anzisha kampuni
 
Takukuru imetoa taarifa leo kwamba kuna watu wanapanda treni ya SGR kwa shilingi elfu moja tu.
Kwahiyo bei inategemeana ntu na ntu
Kwamba mtu anakata tiketi ya pugu kisha anaendelea na safari 😂🤔

Lakini inawezekana, nimeona kuna mapungufu katika ukaguzi wa tiketi, wakishakagua mara 1 ndio imetoka hiyo.
Lakini pia kwa jinsi watanzania tunavyopenda rushwa naamini nikikata tiketi ya buku ili nivuke kuingia ndani ya tren, kisha yule mkaguzi wa tiketi nikampoza kati ya elfu 5 au 10 kuendana na safari yangu na daraja la kusafiria naimani hawezi zingua.
 
Hii habari nimeiona wasafi.
Takukuru wameibua hujuma za wateja wanaokata ticket za masafa mafupi kisha wanasafiri masafa marefu!!

Kwanza ncheke😂😂😂😂
Ni kweli tumefikia huku yaani kaishu kadogo hivo hadi takukuru igundue Uongozi wa Treni haujajua?
Na kwwnini iwe ishu wakati ni vitu ambavyo huwa vinajulikana?

Kwa uzoefu wangu wa mabasi
Ukikata ticket njiana inaeleweka kituo fulani siti zitakua Empty maana abiria idadi fulani watashuka.
Kwaiyo mkata tiket mwingine wa kituo hiko anakata tiket ya hizo siti.

kwaiyo kama Kuna wizi lazima siti moja iwe na abiria watatu au wawili kitu ambacho lazima mwizi aonekane.

Plus kila kituo inajulikana idadi ya abiria wanaoshuka
Kila kituo inajulikana idaid ya abiria wanaopanga.

Kifupi hii ishu ya wizi wa kizamani hii sijawai iona miaka hii isipokua niliona kwene hizi gari za TATA hzi zinaendaga vijijini huko kusiko na rami hawa ndo wakogo zig zag!!

Labda mfumo gani mgumu ambao unafanya abiria awe mjanja kuliko wasimamizi.Mliopanda treni mniambie

NB: Yaliyopo hapa ni mawazo yangu binafsi hayanalengo la kukosoa wala kutuhumu.Kifupi nawaza kwa sauti.

View: https://youtu.be/EieA3JToNEc?si=2fh898kEEPlNaYrY

Na hii nayo tuipe muda. Kama inasimamiwa na watumishi wa umma lazima itafeli. hawana uchungu kabisa na hela za walipa kodi.
Cha kushangaza, baada ya kufeli, tunakopa tena na kuwapa walewale walioharibu waendelee kujinafasi. Sijui sana, ila kweli uchawi upo...lazima tumerogwa sio bure 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Uaminifu wa wabongo ni Zero. Sasa hivi TRC hawajaweka utaratibu wa wa kucheck out, ndo maana haya yanatokea. Sasa itabidi TRC waanze utaratibu wa ku check-out ticket jambo ambalo litaleta usumbufu wa kusubiri muda mrefu kituoni kwa sababu ya wapuuzi wachache
 
mkuu mbona sijasema kampuni binafsi za watu weupe!!
mbona kuna kampuni nyingi za kibongo mkuu
We mwenyewe unaweza anzisha kampuni
Karamagi amekuwa pale kontena terminal Miaka kibao,ni shida tupu,Wacha wasimamie haohao akina kadogosa,Serikali yenyewe inahitani kubinafsishwa
 
Ila ni kazi rahisi tu, kuwe na full time mkaguzi wa tiketi from Dar to Dodoma. Anakagua kila kituo kikuu ikisimama na ikiwa kwenye mwendo.
Akikutwa mtu ana tiketi isio sahihi faini alipe mara mbili ya tiketi au jela miezi sita.
 
Hii habari nimeiona wasafi.
Takukuru wameibua hujuma za wateja wanaokata ticket za masafa mafupi kisha wanasafiri masafa marefu!!

Kwanza ncheke😂😂😂😂
Ni kweli tumefikia huku yaani kaishu kadogo hivo hadi takukuru igundue Uongozi wa Treni haujajua?
Na kwwnini iwe ishu wakati ni vitu ambavyo huwa vinajulikana?

Kwa uzoefu wangu wa mabasi
Ukikata ticket njiana inaeleweka kituo fulani siti zitakua Empty maana abiria idadi fulani watashuka.
Kwaiyo mkata tiket mwingine wa kituo hiko anakata tiket ya hizo siti.

kwaiyo kama Kuna wizi lazima siti moja iwe na abiria watatu au wawili kitu ambacho lazima mwizi aonekane.

Plus kila kituo inajulikana idadi ya abiria wanaoshuka
Kila kituo inajulikana idaid ya abiria wanaopanga.

Kifupi hii ishu ya wizi wa kizamani hii sijawai iona miaka hii isipokua niliona kwene hizi gari za TATA hzi zinaendaga vijijini huko kusiko na rami hawa ndo wakogo zig zag!!

Labda mfumo gani mgumu ambao unafanya abiria awe mjanja kuliko wasimamizi.Mliopanda treni mniambie

NB: Yaliyopo hapa ni mawazo yangu binafsi hayanalengo la kukosoa wala kutuhumu.Kifupi nawaza kwa sauti.

View: https://youtu.be/EieA3JToNEc?si=2fh898kEEPlNaYrY

Kama wale mabinti zao waliowajaza ndani ya treni hawakagui tikiti basi wawawekee mchiriku wawe wanatuburudisha.
 
Hii inaweza kuwa siyo kweli, siyo sahihi kutokana na mazingira tuliyo nayo nchini ambayo walio ndani wameambiwa kura kwa urefu wa kamba yake.

Huo wizi siyo wa abilia na hata kama ni wa abilia basi wana ushirikiano na staff wa SGR.

Wizi unaofanyika hapo ni wataalam wa IT wakishirikiana na wakatisha tiketi wanafanya fojali kwenye mfumo na data base ya tiketi ndipo hapo inaonekana udhaifu.
 
Nchi za wenzetu kama China, ukipitiliza kituo ulichoainisha wakati wa kukata tickets, ukishuka hauwezi kutoka nje ya station mpaka ulipe kile kiasi kilichozidi. Yaani ile token ya kutokea inagoma mpaka uongeze pesa ya hiyo distance iliyozidi. Hawa watu naamini wamesafiri sana na wanajua haya mambo, sijui kwa nini inakuwa ngumu kuiga kwa wenzetu. Hawa maafisa wa TRC ndio wahujumu wa kwanza, kabla ya mwananchi.
 
Huu ndio unaofanyika kwene mfumo wa magar ya mwendokasi!!

ila walichoongelea hakimake sense hata kidogo
 
Nchi za wenzetu kama China, ukipitiliza kituo ulichoainisha wakati wa kukata tickets, ukishuka hauwezi kutoka nje ya station mpaka ulipe kile kiasi kilichozidi. Yaani ile token ya kutokea inagoma mpaka uongeze pesa ya hiyo distance iliyozidi. Hawa watu naamini wamesafiri sana na wanajua haya mambo, sijui kwa nini inakuwa ngumu kuiga kwa wenzetu. Hawa maafisa wa TRC ndio wahujumu wa kwanza, kabla ya mwananchi.
Ni ujuha tu !!

Uwezo mdogo wa watenda kazi
 
Na ukikataa kulipa?
 
Hii habari nimeiona wasafi.
Takukuru wameibua hujuma za wateja wanaokata ticket za masafa mafupi kisha wanasafiri masafa marefu!!

Kwanza ncheke😂😂😂😂
Ni kweli tumefikia huku yaani kaishu kadogo hivo hadi takukuru igundue Uongozi wa Treni haujajua?
Na kwwnini iwe ishu wakati ni vitu ambavyo huwa vinajulikana?

Kwa uzoefu wangu wa mabasi
Ukikata ticket njiana inaeleweka kituo fulani siti zitakua Empty maana abiria idadi fulani watashuka.
Kwaiyo mkata tiket mwingine wa kituo hiko anakata tiket ya hizo siti.

kwaiyo kama Kuna wizi lazima siti moja iwe na abiria watatu au wawili kitu ambacho lazima mwizi aonekane.

Plus kila kituo inajulikana idadi ya abiria wanaoshuka
Kila kituo inajulikana idaid ya abiria wanaopanga.

Kifupi hii ishu ya wizi wa kizamani hii sijawai iona miaka hii isipokua niliona kwene hizi gari za TATA hzi zinaendaga vijijini huko kusiko na rami hawa ndo wakogo zig zag!!

Labda mfumo gani mgumu ambao unafanya abiria awe mjanja kuliko wasimamizi.Mliopanda treni mniambie

NB: Yaliyopo hapa ni mawazo yangu binafsi hayanalengo la kukosoa wala kutuhumu.Kifupi nawaza kwa sauti.

View: https://youtu.be/EieA3JToNEc?si=2fh898kEEPlNaYrY

Hili litakuwa grounded si mda...
Hii nchi. !!
 
Back
Top Bottom