mbalizi1
JF-Expert Member
- Dec 16, 2015
- 21,057
- 41,992
Tatizo letu ngozi nyeusi nadhani limo ndani ya DNA zetu. Vitu vizuri havitufai.Wabongo hao hao wanaosema mradi utakufa mapema ndio hao hao wanahujumu mradi kwa kukata tiketi ya Morogoro kumbe anaenda Dodoma.
Unakaa kwenye bus zuri la mkoani unakuta mtu kaandika maandishi makubwa kwenye kiti ~eti chatta.
Unaingia choo cha public (stand) unakuta mtu mzima na akili zake kamaliza haja zake kisha katupa boonge la jiwe au gunzi la mahindi ndani ya lile sinki ! Unabaki unajiuliza hivi huyu aliyefanya hivi ana akili timamu kweli?
Mtu mzima na akili zake timamu anaamua tu kung'oa (kuharibu) kitasa cha mlango wa lodge kisa tu kalipa hela nyingi!!
Ngozi nyeusi na vitu vizuri na kama maji na mafuta