Kulalamika kwa SGR kuhusu kuhujumiwa ni management failure!

Kulalamika kwa SGR kuhusu kuhujumiwa ni management failure!

Hii habari nimeiona wasafi.
Takukuru wameibua hujuma za wateja wanaokata ticket za masafa mafupi kisha wanasafiri masafa marefu!!

Kwanza ncheke😂😂😂😂
Ni kweli tumefikia huku yaani kaishu kadogo hivo hadi takukuru igundue Uongozi wa Treni haujajua?
Na kwwnini iwe ishu wakati ni vitu ambavyo huwa vinajulikana?

Kwa uzoefu wangu wa mabasi
Ukikata ticket njiana inaeleweka kituo fulani siti zitakua Empty maana abiria idadi fulani watashuka.
Kwaiyo mkata tiket mwingine wa kituo hiko anakata tiket ya hizo siti.

kwaiyo kama Kuna wizi lazima siti moja iwe na abiria watatu au wawili kitu ambacho lazima mwizi aonekane.

Plus kila kituo inajulikana idadi ya abiria wanaoshuka
Kila kituo inajulikana idaid ya abiria wanaopanga.

Kifupi hii ishu ya wizi wa kizamani hii sijawai iona miaka hii isipokua niliona kwene hizi gari za TATA hzi zinaendaga vijijini huko kusiko na rami hawa ndo wakogo zig zag!!

Labda mfumo gani mgumu ambao unafanya abiria awe mjanja kuliko wasimamizi.Mliopanda treni mniambie

NB: Yaliyopo hapa ni mawazo yangu binafsi hayanalengo la kukosoa wala kutuhumu.Kifupi nawaza kwa sauti.



View: https://youtu.be/EieA3JToNEc?si=2fh898kEEPlNaYrY

Hizo janja janja tu ndogo ndogo za abiria baada ya kuona usimamizi ni mbovu
Hii nchi Kila mtu anakula kulingana naurefu WA kamba yake
Jipimieni msikule sana
 
Back
Top Bottom