Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Ukiwa mjinga basi Kama kimya inasadia. Hakuna wakati watu wamepata Haki zao iwe mahakamani au maofisini kama kipindi cha JPM. Huhitaji kuitwa mbowe ndo upewe haki. JPM Ni kiongozi mzuri ingawa sio mwanasiasa wa ile sense ya usanii.
Hata enzi Moi hapo Kenya, alikuwa na wapambe kama ww waliokuwua wanammwagia sifa za hivi hivi. Yeye mpaka aliitwa mtukufu.