Kiongozi mkuu2020
JF-Expert Member
- Aug 8, 2020
- 1,748
- 998
We we watu wasaniii wako kwenye igizo lao halafu uwachukulie hatua? Hawa waigizaji wamesubiriwa wakipeleka nalalamiko yao mahakamaniii, ndiopo igizo lao litawekwa hadharani, na wataeleza aliewaambia kujichukulia sheria mkononi ya kuchoma nyaraka muhimu kama zile bila kuzifikisha kwenye vyombo vya dola.Vile vile, kujichukulia sheria mkononi ni kosa kisheria. Kwa nini hawakuchukuliwa hatua za kisheria?