Kulalamika tumeibiwa kura za kwenye mabegi huku hamuendi Mahakamani, tuwaeleweje?

Kulalamika tumeibiwa kura za kwenye mabegi huku hamuendi Mahakamani, tuwaeleweje?

Vile vile, kujichukulia sheria mkononi ni kosa kisheria. Kwa nini hawakuchukuliwa hatua za kisheria?
We we watu wasaniii wako kwenye igizo lao halafu uwachukulie hatua? Hawa waigizaji wamesubiriwa wakipeleka nalalamiko yao mahakamaniii, ndiopo igizo lao litawekwa hadharani, na wataeleza aliewaambia kujichukulia sheria mkononi ya kuchoma nyaraka muhimu kama zile bila kuzifikisha kwenye vyombo vya dola.
 
Mfumo wa serikali ulivyo hamna mahali unaweza kudai haki..ukaipata kwa wakati kwa sababu wale wanosikiliza mashauri wengi wao wameteuliwa na anaelalamikiwa,utaratibu kama huo hauwezi kutoa haki. Hata hivyo mchawi mkuu katika Taifa letu ni Tume ya Uchaguzi, Kama hatuna tume huru ya uchaguzi hata uchaguzi ujao 2025 tusitarajie miujiza.
 
He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana.

Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa...
Kuna wakati kukaa kimya ni bora zaidi.

Mawakili wanahangaika na kutoa watu waliobambikiwa kesi na kwa hali ilivyo sidhani kama ni busara kwenda mahakamani,Tanzania ya kijani kwa miaka mitano ijayo.

Mbona huulizi kama matokeo yamewekwa ubaoni?
 
Mbona Ester Bulaya alimbwaga Wassira mahakamani?
Mbona unang'ang'ania sana Wassira na Bulaya? Unaujua msingi wa hiyo kesi? Kesi za mwaka huu labda zilinganishwe na ile ya kiteto jambo ambalo kwa mahakama za sasa ni bure tu kupoteza muda kwenda huko. Sometimes njoo na vitu unavyovijua na sio uje kwasababu una hamu ya kuitaja Chadema
 
Matusi hayaondoi nia ovuuu mliopanga. Mkizidiwa hoja mnakimbilia matusi.

Utukanwe na nani ww usiyejua hata kuandika kwa usahihi? Nasema hivi, rudi shule ukajifunze kuandika ndio uje ujadiliane na wanaume hapa jukwaani.
 
He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana....
Mkuu kwa Sasa hayo sio malengo,na hayakuwai kuwa malengo,na msicheze na wapinzani kwamba kukaa kwao kimia ni ujinga,yote yaliyotokea waliyajua mapema,na huo wenda ndo ulikua msimamo wao kabla hata ya kupiga kura, kwa nini kupoteza rasilimali mda,pesa, kwa Mambo ya ajabu.

Uchaguzi uliopita umekwapua taulo za watu,wapo but mioyo yao haina amani,hata wewe mtoa mada,unajua japo unajikaza ,kupindisha kile moyo wako wakijua, make yale tuliyoyaona KWA watu flani from 2015-2020 mtaani hakuna, wamenywea Kama piriton,wanajikaza kisabuni.

Kimbunga lissu 2020 hakijaacha mtu salama, pande zote za nchi,na bado wimbi ni kali Sana, asilimia 95ya wawakilishi wa wananchi waka huu wanaogopa hata kanyaga kwenye majimbo yao,alafu unasema eti kwenda mahakamani.

Mahakama waliochagua kukaa kimya na wananchi, ina value Sana.
 
Utukanwe na nani ww usiyejua hata kuandika kwa usahihi? Nasema hivi, rudi shule ukajifunze kuandika ndio uje ujadiliane na wanaume hapa jukwaani.
Igizo lenuu limebumaa. Tumesubiri mtuleteee kula feki mlizozikamata mkijulisha na zile mlizo chomaa.
 
Mkuu kwa Sasa hayo sio malengo,na hayakuwai kuwa malengo,na msicheze na wapinzani kwamba kukaa kwao kimia ni ujinga,yote yaliyotokea waliyajua mapema,na huo wenda ndo ulikua msimamo wao kabla hata ya kupiga kura, kwa nini kupoteza rasilimali mda,pesa, kwa Mambo ya ajabu...
Well said kwanza hatuna mahakama tuna matawi ya CCM
 
Kutetea haki inapaswa kuwa kazi ya binadamu yeyote timamu... tatizo kwenye msafara wa binadamu kuna wanywadamu wasio timamu!
 
Erythrocyte Amekupata vilivyo. Unataka wachangia mada waonyeshe namna Mahakama Kuu ilvyowekwa mfukoni na Magufuli.

Sasa nyingine na wewe chagu wa malunde unatumia akili yako vibaya kwa makusudi. Majibu unayo Ile unataka uone raia wanavyo ng'aka
Nafikiri ujikite kwenye mada,maana ipo wazi kabisa,ushahidi wa wa kura za mabegi mlikamata,sasa kwa nini msifungue kesi?
 
Una hakika zilichomwa zote? kura zimelipakaa nchi nzima kuna haja gani kuogopa kuzichoma baadhi?

Mpaka ushahidi wa video upo, bora ufunge mdomo wako.
Tena nchi nzima zilipatikana karatasi tatu akapewa Lissu uzunguka nazo mitandaoni😂😂
 
He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana.

Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa.

Mbona hamfungui kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge?

Mnadai hamna imani na mahakama za Tanzania. Mbona mahakama hii ambayo hamna imani nayo ilimpa ushindi Ester Bulaya dhidi ya wana CCM waliopinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge 2015 huko Bunda?

Kwa mantiki hii,kama muda wa kupinga matokeo bado. Kwa kuwa mnao ushahidi jinsi mlivyoibiwa kwenye mabegi. Fungueni kesi kupinga matokeo ya ubunge. Maana tutapata ukwli jinsi mlivyoibiwa.
Kesi ya mbuzi aamue,fisi kama sii kutafuta kuliwa mini zaidi.
 
Back
Top Bottom