Kulalamika tumeibiwa kura za kwenye mabegi huku hamuendi Mahakamani, tuwaeleweje?

Kulalamika tumeibiwa kura za kwenye mabegi huku hamuendi Mahakamani, tuwaeleweje?

Una hakika zilichomwa zote? kura zimelipakaa nchi nzima kuna haja gani kuogopa kuzichoma baadhi?

Mpaka ushahidi wa video upo, bora ufunge mdomo wako.
Hizo baadhi kwa nini msipeleke mahakamani?
 
Bora hata Yatima anaweza kufahamu Haki zake na sio Chadema ya SASA ambapo Kila kiongozi wake analia eti anawindwa na wasiojulikana!!!

Ukiwa Chadema lazima ukubali kuwa mhuni!
Na ukiwa ccm lazima ukubali kuwa laghai,mwongo na mwizi wa kura
 
huko ndiko tulikopeleka , lakini si Mahakama vikaragosi vya watu kama hizo zenu
Vikaragosi ni nyie msifaham katiba na sheria za nchi juuu ya maamuzi na usuruhishaji wa kesi za uchaguzi kwa taifa huru kama Tanzania. Mlifanya maigizo ya kutia dosari uchaguzi kwa kubeba kula feki mlizochapisha kibaya zaidii shetani kuwaimbua mkaigiza kuzichoma nyaraka zile. Bila kujua mumesha haribu igizo lenuuu. Hovyo kabisa nyie
 
Kura feki za Chadema zilindwe na Mambosasa ! hata kama umelogwa basi uchawi uliotumika si wa kawaida
 
He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana.

Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa.

Mbona hamfungui kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge?

Mnadai hamna imani na mahakama za Tanzania. Mbona mahakama hii ambayo hamna imani nayo ilimpa ushindi Ester Bulaya dhidi ya wana CCM waliopinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge 2015 huko Bunda.

Kwa mantiki hii,kama muda wa kupinga matokeo bado. Kwa kuwa mnao ushahidi jinsi mlivyoibiwa kwenye mabegi. Fungueni kesi kupinga matokeo ya ubunge. Maana tutapata ukwli jinsi mlivyoibiwa.
Kima
 
Una hakika zilichomwa zote? kura zimelipakaa nchi nzima kuna haja gani kuogopa kuzichoma baadhi?

Mpaka ushahidi wa video upo, bora ufunge mdomo w
Tupe idadi kamili ya mlizokuwa mumeandaa na mlizozichoma na mlizobakiwa nazooo. Hiii kiki mlioitengeneza imesha wabumia mapemaaa. Malengo yenu ilikuwa kutia doa uchaguzi wetu halafu mkabugi jinsi ya kutengeneza igizoo. Haaaaaaaaaa haaaaaaaaaa
 
Kura feki za Chadema zilindwe na Mambosasa ! hata kama umelogwa basi uchawi uliotumika si wa kawaida
Kwani huyo mambo sasa ndie alie zikamata na kuzichoma kuficha uharisia wa tukio? Nyinyi mlichobugi kwenye igizo lenu ni kujichukulia sheria mkononi nakuanza kuchoma nyaraka muhimu saaana kama zile.
 
Kwani huyo mambo sasa ndie alie zikamata na kuzichoma kuficha uharisia wa tukio? Nyinyi mlichobugi kwenye igizo lenu ni kujichukulia sheria mkononi nakuanza kuchoma nyaraka muhimu saaana kama zile.
Wanaokulipa elfu 7 wanaelewa kila kitu , umebaki wewe kapuku tu
 
Acha kukurupuka.
wewe ndio umekurupuka, sijui ni nini kimekuwasha wakati humohumo kwenye chungu cheni hamuivi, matumbo moto kuliko watakaoenda Mahakamani.
Mavi 8 tu Wakurugenzi hawana hamu, mmoja Igunga tayari na Kura aliiba, sasa ukamshtaki nani? vumilieni na cha moto mpoozane wenyewe mi5 kuleni wenyewe
 
He who alleges must prove. Hii ni moja ya principle muhimu sana katika kuhakikisha haki inapatikana.

Mnalalamika zaidi ya miezi miwili kuwa uchaguzi haukuwa huru. Mlikamata kura za kwenye mabegi ambao ulikuwa ni ushahidi tosha kuwa mmeibiwa.

Mbona hamfungui kesi kupinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge?

Mnadai hamna imani na mahakama za Tanzania. Mbona mahakama hii ambayo hamna imani nayo ilimpa ushindi Ester Bulaya dhidi ya wana CCM waliopinga matokeo ya uchaguzi wa ubunge 2015 huko Bunda.

Kwa mantiki hii,kama muda wa kupinga matokeo bado. Kwa kuwa mnao ushahidi jinsi mlivyoibiwa kwenye mabegi. Fungueni kesi kupinga matokeo ya ubunge. Maana tutapata ukwli jinsi mlivyoibiwa.

Mahakama zilikuwa huru kiasi fulani kabla ya magu kuwa rais, kwa sasa mahakama yamebaki majengo mpaka Magu atoke madarakani, na hiyo ni iwapo atakuja rais anayestahili nafasi ya urais. Ule haukuwa uchaguzi, bali maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Kama mliwapanga hao Makada wa ccm kukusanya pesa huko mahakamani, kisha muhalalishe ushindi wa kihuni, basi mmeukalia.
 
Mahakama hii ambayo Jaji Mkuu ndio huyo mliye naye , na mahakimu wanaccm akina Simba ! itakuwa kituko sana kwa Chadema kwenda Mahakamani
Nakumbuka upinzani wa enzi za kina Lamwai (rip) walikuwa hawatoi visingizio kama mnavyotoa sasa hivi, walikuwa wanabwaga watu mahakamani ile mbaya. Sasa hivi chadema imebakiza porojo tu
 
Wanaokulipa elfu 7 wanaelewa kila kitu , umebaki wewe kapuku tu
Tunawafahamu vizuri wanaufipa wote mkizidiwa hoja mnaporomosha mitusii. Matusi yako wala hayataondoa uhalisia wa mlichopanga lakini Mungu kawaumbua na nia zenu ovuu. Hakuna kifungu chochote cha sheria ya uchaguzi kinaeleza kama mwanachama au mgombea yeyote akikamata kula feki anaruhusiwa kuzichoma bila kufikisha ushaidi huo kwenye vyombo husika. Kiukweli igizo lenu lilibuma pale tu, mlipoanza kujichukulia sheria mkononiii
 
Mbona Wassira alishendwa na Ester Bulaya mahakamani?

Hiyo ni wakati kukiwa na rais aliyekuwa anastahili nafasi hiyo kwa mbali. Na sio Bulaya aliyeenda kishitaki. Usitumie mifano ya wakati nchi ikiwa na afadhali kwenye utawala wa sheria kwa mbali na sasa.
 
Kwa nini sasa walihangai kuomba wananchi wawapigie kura kama hali ndiyo hiyo?
Kuna watu walikuwa hawaamini kuwa tuna utawala wa kishenzi, hivyo watu walitaka kuweka ushahidi usioacha shaka. Kila mtu amejionea jinsi tulivyo na katiba mbovu, inayoweza kuruhusu mtu mmoja aamue matokeo ya uchaguzi yaweje.
 
Back
Top Bottom