Kulalamika tumeibiwa kura za kwenye mabegi huku hamuendi Mahakamani, tuwaeleweje?

Ukiwa mjinga basi Kama kimya inasadia. Hakuna wakati watu wamepata Haki zao iwe mahakamani au maofisini kama kipindi cha JPM. Huhitaji kuitwa mbowe ndo upewe haki. JPM Ni kiongozi mzuri ingawa sio mwanasiasa wa ile sense ya usanii.

Hata enzi Moi hapo Kenya, alikuwa na wapambe kama ww waliokuwua wanammwagia sifa za hivi hivi. Yeye mpaka aliitwa mtukufu.
 
Kukaa kimya ni busara sio lazima uandike hata ukiishiwa point
 
Acha kujitoa ufahamu na ww? Unaweza kumshitaki nyani kwa ngedere ukapata hukumu ya haki?
 

Hivi kuna mahakama bado😂😂
 
Upeleke kesi kwenye mahakama ambayo jaji kateuliwa na mwenyekiti wa maccm!

Kuwa serious mkuu watanzania sio wajinga kiasi hicho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…