Kule AFCON kuna timu nyingine ina Bango la Rais wao uwanjani zaidi ya Tanzania?

Raisi ana mapenzi na mpira huo ukweli haupingiki
Ww huyu hana mapenzi ya mpira ni kwamba miaka ya uchaguzi imefika kwa hiyo anatafuta kuungwa mkono na kila kikundi cha watu ss kwenye sekta ya michezo hususani mpira wa miguu watu wapo ndo unamuona yuko mstari wa mbele....ila kimsingi hana mapenzi ya mpira !!!!
 
Sasa watu kama Baba Levo na Mwijaku ndiyo wawakilishi na wahamasishaji wa timu unategemea nini?
 
Alichanga kutoka kwenye bank account yake?
 
Aisee
 
Marais wengine wanajitambua ma kujiamini, wakwatu anatafutiwa cheap popularity
 
Ujinga ni siasa kwenye mpira, Yani msuva anafunga goli unaskia shukrani ziende kwa mama kizimkazi, Philip mpango kigoma, bila kumsahau pm kutoka lindi... Yaani huyu mtangazaji Leo kanikera basi tu
Wanakosea hapo hapo na ndiyo maana tunaiombea mabaya Taifa Stars
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…