Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna wakati unatamani uzabe mtu kibao kwa jinsi wanavyokuangalia, ingawa wanakuangalia kwa haraka ila unajua tu hawapendiWanajikutaga wao ni bora sanaa.
Ni vilaza tuu sisi weusi tuko vizuri sanaa sema mfumo wa elimu yetu umetujenga kuwaona wao ni bora.Tunafanya nao kazii ila hawana kitu n rangi tuu ndio inawabeba.Kuna wakati unatamani uzabe mtu kibao kwa jinsi wanavyokuangalia, ingawa wanakuangalia kwa haraka ila unajua tu hawapendi
Wengi wao wana ubaguzi sana ingawa tupo nao tu tunadunda na wengine roho inawauma wakiona unawazidi kipato na cheo hahaha lakini ndio hivyo tena
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
[emoji16][emoji16][emoji16]mmmh Charlotte black?.......sasa mbona anamuwekea Meghan kauzibe now[emoji134][emoji23]?Wakati Harry anampeleka Meghan kwa bibi yake kumtambulisha
Malkia alimuuliza mjukuu wake "umempenda?"
Baadae akawa anawaonyesha picha zilizopo kwenye ukuta na moja ya picha kubwa ukutani aliwaambia ni ya bibi yake kwa jina alikuwa anaitwa Queen Charlotte mnamo mwaka 1744 na alikuwa mweusi
Kwa hiyo hata malkia ana kaweusi ka mbaaali
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Haahaaahaaa...siku ukiibuka nae club piga nae pic unirushie[emoji16][emoji16]Na kweli kabisa kwa kuwa tu ni mmarekani na tabia haziendani
William anaandaliwa kuwa mfalme na mke wake malkia kwa hiyo kuna bifu kati ya meghan na mke wa Will
Harry anajua hilo na ni mtu wa kujirusha sana wakati William na mke wake wanabanwa na kuchungwa sana
Naweza nikaibuka siku moja nikakutana na Harry disco hahahaha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Mzungu ni mbaguzi sana japo mambo mengine wako poazzKuna wakati unatamani uzabe mtu kibao kwa jinsi wanavyokuangalia, ingawa wanakuangalia kwa haraka ila unajua tu hawapendi
Wengi wao wana ubaguzi sana ingawa tupo nao tu tunadunda na wengine roho inawauma wakiona unawazidi kipato na cheo hahaha lakini ndio hivyo tena
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Aise watuchukuliaje sie wazaramo, tutake radhi aleef.Harry hapelekeshwi wala nini...
Waingereza ni vinara wa kueneza sumu za maneno!
Wambea sana kama wazaramo[emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Niliona hiyo wakati Quuen anamuonyesha Meghan picha ya Charlotte[emoji16][emoji16][emoji16]mmmh Charlotte black?.......sasa mbona anamuwekea Meghan kauzibe now[emoji134][emoji23]?
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kizushi Queen Elizabeth n muolewaji adi akawa malkia au n kutokana na kuzaliwa kwenye familia ya kifalme.Niliona hiyo wakati Quuen anamuonyesha Meghan picha ya Charlotte
Kweli ni mweusi fuatilia nakujua utamsoma
Ila queen Elizabeth ana roho mbaya sana ila mama yake alikuwa mzuri sana Queen mother
Naona anamchukia kwa sababu hafuati taratibu za palace kama Diana
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kweli kabisa ila inasemekana mchoraji aliongeza rangi kwa chuki tu
Yaani mpaka yule mama aliyekuwa ana muangalia alimwambia wewe fanya utakalo maana hatukuchungi kama kaka yakoHaahaaahaaa...siku ukiibuka nae club piga nae pic unirushie[emoji16][emoji16]
Namkubali sana Harry, full kujichanganya na kila raia!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kweli wapo wazungu na wazungu
King George ambae alikuwa baba yake na malkia Elizabeth alipokufa mfalme ndipo Elizabeth akapewa U malkia akiwa na umri wa miaka 25 mpaka leoSwali la kizushi Queen Elizabeth n muolewaji adi akawa malkia au n kutokana na kuzaliwa kwenye familia ya kifalme.
damu safi,ki vpiKapenda mwenyewe kujitumbukiza pakubwa avumilie tu.
Kate anapendwa pale sababu kajishusha sana anafata kila anachoambiwa. Ukute hata mimba anazobeba anapangiwa.
Kwa Meghan itakua ngumu kumcontrol maana keshaishi ulimwengu wetu wa kawaida huu kabla ya kufungiwa humo kwenye damu inayoitwa safi.
Tatizo kiinglishi!! Angewanyali vipi sijui..Natamani angekuwa na damu ya bongo, sipati picha angetoka ukoo wa kina Riyama Ally...angewanyali mpaka basi.
Si kama unavyomfikiria nisikiavyo Megan ni mkorofi na Prince Harry ni toy boy kwa miaka takriban 6 anapelekeshwa na huyu mdada.Huyu mwanamke ni Black America aliyeolewa na mtoto wa Princess Diana.
Huenda bibi mkubwa (Malkia) ana kaubaguzi...
Lakini pia isije ikawa ni habari za udaku (TABLOIDS)
Au ukute ni habari za April Fools Day....
Nawaza tu wakuu.
Hahaha..na kanga za mafumbo ya kiingereza.Tatizo kiinglishi!! Angewanyali vipi sijui..
Hey!! Donti folo folo me, luk at ur mouth, mouth like marlin fish!! Vilegs like honey badger!! Sasa sijui nyooo angeitamka vip kwa kiinglishi!!
Au ataishia kuwaimbia nyimbo za taarabu na kunung'unika kwa mafumbo
Ooh! There are people n shoes in this world!!
Oohh!! If u have it will pain em inside inside.
Oooh!! Live them, avoid 'em quickly quickly
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kizushi Queen Elizabeth n muolewaji adi akawa malkia au n kutokana na kuzaliwa kwenye familia ya kifalme.
HahaaHahaha..na kanga za mafumbo ya kiingereza.