Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kuna wakati unatamani uzabe mtu kibao kwa jinsi wanavyokuangalia, ingawa wanakuangalia kwa haraka ila unajua tu hawapendiWanajikutaga wao ni bora sanaa.
Wengi wao wana ubaguzi sana ingawa tupo nao tu tunadunda na wengine roho inawauma wakiona unawazidi kipato na cheo hahaha lakini ndio hivyo tena
Sent from my SM-G570F using Tapatalk