Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kate na Will wamezidiana miezi 5 na Kate ni mkubwa.Nini sio kweli?
Na Harry ni mdogo miaka 3 kwa Meghan
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kate na Will wamezidiana miezi 5 na Kate ni mkubwa.Nini sio kweli?
Afadhali apoe asee...dunia nzima twasubiria twins wake watue duniani tusherehekee...Ana ulinzi sana tu
Halafu kalienda Afghanistan ni mjeda pia
Maana wao jeshi ni lazima na mpaka wawe na Ranks kubwa
Siku hizi kapoa kidogo kwa madisco [emoji2]
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ok mitatu
Exactly.... They differ 3 yrs1981 na 1984
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
There you are[emoji122][emoji122]Kate na Will wamezidiana miezi 5 na Kate ni mkubwa.
Na Harry ni mdogo miaka 3 kwa Meghan
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Jamani kumbe mimi unaweza kuniita babuWooow!...I wish wakati yuko hai mpaka anakufa ningekuwa mkubwa jomoni[emoji24][emoji24]
Mkuu ulifaidi hiyo 97...[emoji122][emoji122]
Nampenda Di mimi mpaka basi kumuenzi nimecollect mambo yake yote nikimmiss namcheki home!
Ndio niliona U tube...kibibi kiligoma kutoka ndani, badae akatoka na Mage cha pombe...halafu Mage hakubend kichwa wakati jeneza linapita kwa ajili ya chuki kwa diana
Sent using Jamii Forums mobile app
Wow asante!Jamani kumbe mimi unaweza kuniita babu
Kweli nilikuwepo ila kwa kweli ulikuwa msiba mkubwa sana na dunia ilisimama
Ukimya ulikuwa kila mahali
Ila mzee Fayed alishupaa sana nakusema malkia na majasusi wa kifaransa ndio wamemuua
Nakumbuka kabla ya kifo chake Diana alisema anataka kusema neno ambalo dunia nzima itashangaa ndipo wakammaliza
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Nilijua ni mimba alipotangaza kutoa siri kubwaWow asante!
Hivi Di alitaka kusema neno gani???
Yule mzee Fayed ana bifu na Queen sio la nchi hii[emoji16][emoji16]..kwanza alinyimwaga citizenship si ndio?
Siku hizi kahamia zake Greece anaropoka huko kama nini..haha
Sent using Jamii Forums mobile app
Aseeee[emoji848][emoji848][emoji134]...Nilijua ni mimba alipotangaza kutoa siri kubwa
Lakini ilikuja kujulikana kuwa Dodi anataka kubeba jumla kwa hiyo alimuomba abadili dini na akakubali na mimba alikuwa nayo tayari
Sasa imagine Prince William na Harry wawe na ndugu Prince muislam duu
Wakaona isiwe shida uwa Diana na hadithi iishie hapo kabla hajaita press conference maana alikuwa anapenda sana publicity
Sasa mzee kapata upele akaanza kuitukana serikali na royal family haswa haswa malkia
Alizidi mdomo mpaka na ile sanamu ya malkia Elizabeth iliyopo pale juu ya Harrods ikashushwa
Na malkia kwa mara ya kwanza alitoa onyo kali sana na kusema watakaoongelea tena hii issue ya Diana watapotea tena aliongea live kwenye tv ya taifa
Kweli tulishtuka sana kwa kauli hiyo na alidhamiria kweli maana watoto walikuwa wanaumia sana
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Alichemka sana tu Diana na Mungu anisamehe maana alitembea na wanaume kibao ila kwa Dodi alipotea njia kabisaAseeee[emoji848][emoji848][emoji134]...
Ila Di hapa alichemka tena vibaya vibaya, utaolewaje na mwislam tena mmisiri?.... Wasingemuacha hata kwa punje!
Kumbe yule Bibi alipiga mkwara?[emoji16][emoji16][emoji16]..hataree fayaa
Mzee Fayed kule mahamakani daaah, full kutukana live mpaka nikasema atauliwa na yy...
Hivi sasa hivi hali vip kuhusu Camilla siku hizi waingereza wanampenda?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hadi wamama wakwe wa kizungu pia wanakuaga na roho mbaya
Huwezi jua labda ana kitabia cha damu zetu za gubu hahahahhahah
😁😁😁😁😁😁Tusojua lugha inatugharimu.
Kwahiyo Huyu Dada anataka nini kama yeye ndio chanzo cha ugonvi? Yaan yeye ndio anatakiwa kuwa bega kwa bega na mumewe leo awe chanzo cha ugonvi?Nilisoma article moja wanasema Merghan ana tabia ya kummforce mumewe prince harry na kum harras nadhani mnaelewa hapa na walicompare furaha ya Harry akiwa bado hajamuoa na sasa alipomuoa wanasema kwenye events nyingi wakiwa wame attend Harry huonekana akiwa hana furaha. So ndani ya Jumba la bibi elizabeth kunawaka motoo. But things are contradicts wwngine wana sifia na kusema malkia anamkubali merghan wengine wanasema No.
😂😁😁😁😁 sema kweli? Basi Siku ukienda disco ikakutana nae mwambie Tanzania kuna kadada kanaitwa luckyline, kanaomba kuwa mtumishi wa jumba LA kifalme. Na subiri jibu. Usisahau kwenda disco kwa ajili yanguNa kweli kabisa kwa kuwa tu ni mmarekani na tabia haziendani
William anaandaliwa kuwa mfalme na mke wake malkia kwa hiyo kuna bifu kati ya meghan na mke wa Will
Harry anajua hilo na ni mtu wa kujirusha sana wakati William na mke wake wanabanwa na kuchungwa sana
Naweza nikaibuka siku moja nikakutana na Harry disco hahahaha
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
[emoji41][emoji41][emoji3][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sema kweli? Basi Siku ukienda disco ikakutana nae mwambie Tanzania kuna kadada kanaitwa luckyline, kanaomba kuwa mtumishi wa jumba LA kifalme. Na subiri jibu. Usisahau kwenda disco kwa ajili yangu
"Wakati Meghan akipata marufuku hio kate mke wa Prince William ana kila ruhusa ya kuazima vito hivyo vya kifalme."
Hichi kipande mbona hakipo kwenye kingereza ulicho tafsiri ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mfano prince Charles sio bloodline yakifalme kwa kuwa baba yao sio mzaliwa wa familia ya kifalme.naomba nielewesheNi mzaliwa kwenye familia ya kifalme.
Kaka yake na baba yake Eliza alikua mfalme ila aliutema baada ya kumpenda mwanamke mwingine aliyeolewa na kuwa na watoto huko hivyo ufalme akapewa baba yake Eliza ambaye hakua na mtoto mwingine zaidi ya queen eliza