Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Haahah hapana chezeiyaaKwahiyo Huyu Dada anataka nini kama yeye ndio chanzo cha ugonvi? Yaan yeye ndio anatakiwa kuwa bega kwa bega na mumewe leo awe chanzo cha ugonvi?
Hivi hiyo nafasi kikiipata sijui nafanyaje? Kila Siku namwogesha na kumbeba, chezea kuwa Mke wa princeš