Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Kwahiyo Huyu Dada anataka nini kama yeye ndio chanzo cha ugonvi? Yaan yeye ndio anatakiwa kuwa bega kwa bega na mumewe leo awe chanzo cha ugonvi?

Hivi hiyo nafasi kikiipata sijui nafanyaje? Kila Siku namwogesha na kumbeba, chezea kuwa Mke wa prince😁
Haahah hapana chezeiyaa
 
[emoji41][emoji41][emoji3]
Kwanza nimtafute aliko kama yuko nchini na kama yupo naangalie anapendelea wapi
Kujirusha halafu natinga
Nitajitahidi kufikisha ujumbe hata kama nikikabwa atasikia LUCKYLINE
Ntakupa jibu na nikimkosa ntakualika mimi uje tukagonge kwao

Sent from my SM-G570F using Tapatalk

I can't wait.😁
 
Philip baba yao prince charles ana damu ya kifalme kule Greece sema vuguvugu la madaraka liliikumba familia yao wakatimuliwa nchini akiwa mtoto mchanga. Hata hivyo bado prince charles ana damu ya kifalme toka kwa mama yake ambaye ni Queen
Kwa mfano prince Charles sio bloodline yakifalme kwa kuwa baba yao sio mzaliwa wa familia ya kifalme.naomba nieleweshe
 
Alichemka sana tu Diana na Mungu anisamehe maana alitembea na wanaume kibao ila kwa Dodi alipotea njia kabisa

Kuhusu Camilla alitukanwa na mzee Fayed akasema ana sura mbaya kama crocodile
Kwa kweli Camilla hawezi kuhichanganya na public kwa sababu hana mvuto kabisa
She's too old to be painted as sexually manipulative tart anymore
Lakini hapendwi kabisa hata Malkia hampendi ingawa ni familia

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ok ok...but Charles anampenda camilla kufa sijui amelogwa[emoji16]...

Hivi Diana kagawaga uroda sana eeeh??...sikujua hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok ok...but Charles anampenda camilla kufa sijui amelogwa[emoji16]...

Hivi Diana kagawaga uroda sana eeeh??...sikujua hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Charles alikuwa anatembea na Camilla kabla hajamuoa Diana
Na Diana alipoolewa na Charles kama kawaida lazima afuate taratibu na heshima za utawala wa kifalme, akawa mpole tu na hakuwa na msaada wowote ule mpaka alipompata Major Hewitt aliemfundisha Diana kupanda farasi.
Kosa kubwa maana Diana kwa kuondoa frustration zake akatembea na huyo mjeda ambae ni rafiki wa karibu sana na familia.

Siri ikatoka mambo yakawa mabaya baadae akampata tena billionaire mmoja mwenye machimbo ya mafuta USA akatembea nae tena
Na hayo yakawa wazi akawa na Dr wake mpakistan akiwa anamsaidia kwa stress zake ikabidi amle nae na siku moja alimficha kwenye boot ya gari na kuingia nae kwake palace (dereva alikuja kutoa siri)
Baadae ndio akampata Dodi Al Fayed na umauti ukamkuta
Starring akafa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Mie naona either aligawa au hakugawa ila haki yake kugawa maana Chalz alikua bize kukigawa nje khaa Diana nae ana hisia bana.
Na aligawa haswa mpaka akakataa kuchungwa na walinzi akitaka uhuru wake
Alitembea na wanne wanaojulikana rasmi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Sana mkuu!

Anachekaga nje tu lkn huko ndani ni majanga kwelikweli [emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna majanga mule ndani.......sema huyo dada inatakiwa aji confine na utamaduni wa ki Royal Family....hakuna mambo ya kuazima kitu mule....atarithishwa ama atapewa muda wake ukifika..... taratibu atazoea tu....mwanzo mgumu
 
Charles alikuwa anatembea na Camilla kabla hajamuoa Diana
Na Diana alipoolewa na Charles kama kawaida lazima afuate taratibu na heshima za utawala wa kifalme, akawa mpole tu na hakuwa na msaada wowote ule mpaka alipompata Major Hewitt aliemfundisha Diana kupanda farasi.
Kosa kubwa maana Diana kwa kuondoa frustration zake akatembea na huyo mjeda ambae ni rafiki wa karibu sana na familia.

Siri ikatoka mambo yakawa mabaya baadae akampata tena billionaire mmoja mwenye machimbo ya mafuta USA akatembea nae tena
Na hayo yakawa wazi akawa na Dr wake mpakistan akiwa anamsaidia kwa stress zake ikabidi amle nae na siku moja alimficha kwenye boot ya gari na kuingia nae kwake palace (dereva alikuja kutoa siri)
Baadae ndio akampata Dodi Al Fayed na umauti ukamkuta
Starring akafa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
[emoji134][emoji134][emoji134]....alimuwekaga Hasnat kwenye buti la gari?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...usiombe yakukute ya kuzidiwa na genye huku Chale yuko bize na malaya nje!

Huyo Hewitt ni kweli eti ndo babake Harry?

Ila mi huwa najiuliza, hivi Di angekomaa labda na mzungu yeyote akaolewa nae ufalme ungemuua?

But nashangaa hadi leo why Sarah Fergie hajaolewa tena? Au baada ya kuona mwenzake kauliwa??

Nijib maswali yangu plse!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na aligawa haswa mpaka akakataa kuchungwa na walinzi akitaka uhuru wake
Alitembea na wanne wanaojulikana rasmi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Wanne mbona ni kidogo mkuu?

Huyo Chale chapombe kalala mpaka na black.....while ni abomination according to them!

Kama wanne kidogo bana[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanne mbona ni kidogo mkuu?

Huyo Chale chapombe kalala mpaka na black.....while ni abomination according to them!

Kama wanne kidogo bana[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Du [emoji848] 4 wengi jamani kwa mtu anaelindwa kila wakati
Wanawake dhaifu sana yaani ukitega bega tu a shoulder to cry unamaliza kazi
Nawahurumiaga sana sometimes

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Unataka kusema hawambagui Meghan?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua kwa standard za Royal Family zilivyo unaweza kuona kama huyo dada anabaguliwa si kweli.. but....ni swala la muda tu atazoea....huyo dada mpaka anaolewa ujue keshachunguzwa saana....kuanzia background ya familia yake....nenda kushoto nenda kulia Royal Family hawaoagi damu za kishenzi....that is abomination
 
Du [emoji848] 4 wengi jamani kwa mtu anaelindwa kila wakati
Wanawake dhaifu sana yaani ukitega bega tu a shoulder to cry unamaliza kazi
Nawahurumiaga sana sometimes

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kwani alikuwa hapati nafasi ya kuwa free?

Chaz alikuwa hampendi so hakumjali labda waone camera...

Hivi ile koo ilitarajia Di afanyaje? Asiombe talaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua kwa standard za Royal Family zilivyo unaweza kuona kama huyo dada anabaguliwa si kweli.. but....ni swala la muda tu atazoea....huyo dada mpaka anaolewa ujue keshachunguzwa saana....kuanzia background ya familia yake....nenda kushoto nenda kulia Royal Family hawaoagi damu za kishenzi....that is abomination
Sasa huyo Meghan anatoka familia gani ya maana ?...ptuuu[emoji134]

Kwao kumejaa maskendo ya kufa mtu!

Sema Harry kaamua kujibebea tu, coz yy hatakuwa mfalme basi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji134][emoji134][emoji134]....alimuwekaga Hasnat kwenye buti la gari?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...usiombe yakukute ya kuzidiwa na genye huku Chale yuko bize na malaya nje!

Huyo Hewitt ni kweli eti ndo babake Harry?

Ila mi huwa najiuliza, hivi Di angekomaa labda na mzungu yeyote akaolewa nae ufalme ungemuua?

But nashangaa hadi leo why Sarah Fergie hajaolewa tena? Au baada ya kuona mwenzake kauliwa??

Nijib maswali yangu plse!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hasnat alikuwa anapumua kwa oxygen labda [emoji89][emoji2]
Sio kwa hamu hiyo
Kweli wanasema Hewitt ni baba yake lakini sijui kwa kweli ila wanafanana [emoji15]

Kuhusu kuolewa tena sijui utaratibu wao kama angeolewa maana hata Charles kaukosa ufalme kwa ajili ya kutembea na Camilla na hawakuoana kisheria

Matatizo ya kina Sarah ni kuwa huyu mama mkwe wao Malkia aliwavuruga sana imagine walikuwa wanakaaje wakati wanakula pamoja na maneno wanayotupiwa huku queen mother akizima lakini wapi
Ndoa zao zimeharibika mpaka kwa mwanae wa kike labda mmoja Edward tu ndio bado ana mke wake
Lakini mama mkali sana
Nafikiri huwa wakiachika labda hawaolewi tena maana kuna wakati Sarah alijifanya kuleta za kuleta Queen akamrimua kwenye palace na kukata hela
Nae akaenda USA akafanya advert kwenye kampuni gani sijui (nimesahau)
Ili ajipatie hela za matumizi salaalee iliwaumiza sana Royal family lakini kakuza wanae
Kuna visa lakini ni familia kubwa sana na wametoka mbali na historia kubwa wapo wafalme walikuwa wehu na wapo walionyongwa yaani wana historia sana lakini wanapendwa na waingereza sana na watakuwepo kwa miaka mingi ijayo

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom