Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Kule kwa Malkia: Meghan Markle ameanza kuisoma namba

Ana ulinzi sana tu
Halafu kalienda Afghanistan ni mjeda pia
Maana wao jeshi ni lazima na mpaka wawe na Ranks kubwa
Siku hizi kapoa kidogo kwa madisco [emoji2]

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Afadhali apoe asee...dunia nzima twasubiria twins wake watue duniani tusherehekee...

Halafu unajua Harry ni flavor ya Queen?...Harry ana vichekesho sana so huwa Liz anapenda sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wooow!...I wish wakati yuko hai mpaka anakufa ningekuwa mkubwa jomoni[emoji24][emoji24]

Mkuu ulifaidi hiyo 97...[emoji122][emoji122]

Nampenda Di mimi mpaka basi kumuenzi nimecollect mambo yake yote nikimmiss namcheki home!

Ndio niliona U tube...kibibi kiligoma kutoka ndani, badae akatoka na Mage cha pombe...halafu Mage hakubend kichwa wakati jeneza linapita kwa ajili ya chuki kwa diana

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani kumbe mimi unaweza kuniita babu
Kweli nilikuwepo ila kwa kweli ulikuwa msiba mkubwa sana na dunia ilisimama
Ukimya ulikuwa kila mahali
Ila mzee Fayed alishupaa sana nakusema malkia na majasusi wa kifaransa ndio wamemuua
Nakumbuka kabla ya kifo chake Diana alisema anataka kusema neno ambalo dunia nzima itashangaa ndipo wakammaliza

Wow asante!

Hivi Di alitaka kusema neno gani???

Yule mzee Fayed ana bifu na Queen sio la nchi hii[emoji16][emoji16]..kwanza alinyimwaga citizenship si ndio?

Siku hizi kahamia zake Greece anaropoka huko kama nini..haha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wow asante!

Hivi Di alitaka kusema neno gani???

Yule mzee Fayed ana bifu na Queen sio la nchi hii[emoji16][emoji16]..kwanza alinyimwaga citizenship si ndio?

Siku hizi kahamia zake Greece anaropoka huko kama nini..haha

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilijua ni mimba alipotangaza kutoa siri kubwa
Lakini ilikuja kujulikana kuwa Dodi anataka kubeba jumla kwa hiyo alimuomba abadili dini na akakubali na mimba alikuwa nayo tayari
Sasa imagine Prince William na Harry wawe na ndugu Prince muislam duu
Wakaona isiwe shida uwa Diana na hadithi iishie hapo kabla hajaita press conference maana alikuwa anapenda sana publicity

Sasa mzee kapata upele akaanza kuitukana serikali na royal family haswa haswa malkia.

Alizidi mdomo, mpaka na ile sanamu ya malkia Elizabeth iliyopo pale juu ya Harrods ikashushwa
Na malkia kwa mara ya kwanza alitoa onyo kali sana na kusema watakaoongelea tena hii issue ya Diana watapotea tena aliongea live kwenye tv ya taifa
Kweli tulishtuka sana kwa kauli hiyo na alidhamiria kweli maana watoto walikuwa wanaumia sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nilijua ni mimba alipotangaza kutoa siri kubwa
Lakini ilikuja kujulikana kuwa Dodi anataka kubeba jumla kwa hiyo alimuomba abadili dini na akakubali na mimba alikuwa nayo tayari
Sasa imagine Prince William na Harry wawe na ndugu Prince muislam duu
Wakaona isiwe shida uwa Diana na hadithi iishie hapo kabla hajaita press conference maana alikuwa anapenda sana publicity

Sasa mzee kapata upele akaanza kuitukana serikali na royal family haswa haswa malkia
Alizidi mdomo mpaka na ile sanamu ya malkia Elizabeth iliyopo pale juu ya Harrods ikashushwa
Na malkia kwa mara ya kwanza alitoa onyo kali sana na kusema watakaoongelea tena hii issue ya Diana watapotea tena aliongea live kwenye tv ya taifa
Kweli tulishtuka sana kwa kauli hiyo na alidhamiria kweli maana watoto walikuwa wanaumia sana

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Aseeee[emoji848][emoji848][emoji134]...

Ila Di hapa alichemka tena vibaya vibaya, utaolewaje na mwislam tena mmisiri?.... Wasingemuacha hata kwa punje!

Kumbe yule Bibi alipiga mkwara?[emoji16][emoji16][emoji16]..hataree fayaa

Mzee Fayed kule mahamakani daaah, full kutukana live mpaka nikasema atauliwa na yy...

Hivi sasa hivi hali vip kuhusu Camilla siku hizi waingereza wanampenda?

Alichemka sana tu Diana na Mungu anisamehe maana alitembea na wanaume kibao ila kwa Dodi alipotea njia kabisa

Kuhusu Camilla alitukanwa na mzee Fayed akasema ana sura mbaya kama crocodile
Kwa kweli Camilla hawezi kuhichanganya na public kwa sababu hana mvuto kabisa
She's too old to be painted as sexually manipulative tart anymore
Lakini hapendwi kabisa hata Malkia hampendi ingawa ni familia

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Nilisoma article moja wanasema Merghan ana tabia ya kummforce mumewe prince harry na kum harras nadhani mnaelewa hapa na walicompare furaha ya Harry akiwa bado hajamuoa na sasa alipomuoa wanasema kwenye events nyingi wakiwa wame attend Harry huonekana akiwa hana furaha. So ndani ya Jumba la bibi elizabeth kunawaka motoo. But things are contradicts wwngine wana sifia na kusema malkia anamkubali merghan wengine wanasema No.
Kwahiyo Huyu Dada anataka nini kama yeye ndio chanzo cha ugonvi? Yaan yeye ndio anatakiwa kuwa bega kwa bega na mumewe leo awe chanzo cha ugonvi?

Hivi hiyo nafasi kikiipata sijui nafanyaje? Kila Siku namwogesha na kumbeba, chezea kuwa Mke wa prince😁
 
Na kweli kabisa kwa kuwa tu ni mmarekani na tabia haziendani
William anaandaliwa kuwa mfalme na mke wake malkia kwa hiyo kuna bifu kati ya meghan na mke wa Will
Harry anajua hilo na ni mtu wa kujirusha sana wakati William na mke wake wanabanwa na kuchungwa sana
Naweza nikaibuka siku moja nikakutana na Harry disco hahahaha

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
😂😁😁😁😁 sema kweli? Basi Siku ukienda disco ikakutana nae mwambie Tanzania kuna kadada kanaitwa luckyline, kanaomba kuwa mtumishi wa jumba LA kifalme. Na subiri jibu. Usisahau kwenda disco kwa ajili yangu
 
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sema kweli? Basi Siku ukienda disco ikakutana nae mwambie Tanzania kuna kadada kanaitwa luckyline, kanaomba kuwa mtumishi wa jumba LA kifalme. Na subiri jibu. Usisahau kwenda disco kwa ajili yangu
[emoji41][emoji41][emoji3]
Kwanza nimtafute aliko kama yuko nchini na kama yupo naangalie anapendelea wapi
Kujirusha halafu natinga
Nitajitahidi kufikisha ujumbe hata kama nikikabwa atasikia LUCKYLINE
Ntakupa jibu na nikimkosa ntakualika mimi uje tukagonge kwao

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Ni mzaliwa kwenye familia ya kifalme.

Kaka yake na baba yake Eliza alikua mfalme ila aliutema baada ya kumpenda mwanamke mwingine aliyeolewa na kuwa na watoto huko hivyo ufalme akapewa baba yake Eliza ambaye hakua na mtoto mwingine zaidi ya queen eliza
Kwa mfano prince Charles sio bloodline yakifalme kwa kuwa baba yao sio mzaliwa wa familia ya kifalme.naomba nieleweshe
 
Back
Top Bottom