Kulea watoto na kuwa Mama wa nyumbani hakukupi Haki ya kugawana mali na mumeo pale mnapotalakiana

Unafikiri ni kwa nini hizo unazoita Mahakama mara nyingi Watu husema hakuna Haki? Hukumsikia Rostam, hukumsikia Makonda,
Huko ndio unaita kunaulinzi?

Watibeli tunajua kipi cha kufanya.
Am not so sure but there's a time I've doubtful attitude about your writings. Kifupi kama kuna atakaemeza mazima kile ulichoandika na kudhani ndiyo sheria ilivyo amekwenda na maji.
 
Am not so sure but there's a time I've doubtful attitude about your writings. Kifupi kama kuna atakaemeza mazima kile ulichoandika na kudhani ndiyo sheria ilivyo amekwenda na maji.

😃😃
Watibeli sio wajinga kushindwa kujua ninaandikaga nini.
Ila umefanya vizuri kuwatadharisha Watu wa jamii kama yako(wasio Watibeli)
 
Shida yako unataka kila hoja unayoleta kila mmoja akubaliane na wewe

Hakuna sehemu yoyote ninayotaka Watu wakubaliane na Mimi.
Watibeli tunajua haki za Watu Wengine kama ninyi ndio maana sisi ni Watu tunaopenda kujadiliana kwa hoja ili mwenye hoja ndiye asikilizwe na asiye na hoja apewe heshima kwa kuchangia tuu.
 
Na hicho ndio maana ninawasapoti vijana 2q kataa ndoa kwa sababu kwa sasa ndio ni utapeli.

Sheria ziko kitapeli tapeli hivi. Dhulma tupu
Binafsi kataa ndoa siwasapoti. Nawaona kama wahubiri wanaopita bar kuhubiri watu wasinywe bia sababu zina madhara. Bila kujali idadi ndoa zitaendelea kufungwa, kuna ambazo zitavunjika, kuna ambazo zitadumu. Wapo vijana baada ya kufunga ndoa milango ya baraka ilifunguka na wana familia stable na kuna ambao kitendo cha kufunga ndoa wamekaribisha laana kwenye maisha yao. Kwenye suala la ndoa kila mtu apambane na hali yake. Huitaki sawa kaa pembeni, usigeuke muhubiri kutupigia makelele yako, na wewe usipigiwe kelele kuwa uoe.
 
Wanasahau kuwa hao watoto wanaowalea sio wa jirani wala ndugu, ni watoto wao kabisa. Na pesa zote za matumzi anatoa mwanaume
 
Hii inategemea. Kwangu mimi kugawana mali inabidi kila mtu awe na haki, ila jua kuwa mara nyingi ndoa za vijijini mara nyingi huwa hakuna cha kugawana. Nyumba ya nyasi mtagawana nini? Ardhi huwezi kumgawia mwanamke maana ni ya ukoo na amekuja akaikuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…