Kulea watoto na kuwa Mama wa nyumbani hakukupi Haki ya kugawana mali na mumeo pale mnapotalakiana

Kulea watoto na kuwa Mama wa nyumbani hakukupi Haki ya kugawana mali na mumeo pale mnapotalakiana

Hii inategemea. Kwangu mimi kugawana mali inabidi kila mtu awe na haki, ila jua kuwa mara nyingi ndoa za vijijini mara nyingi huwa hakuna cha kugawana. Nyumba ya nyasi mtagawana nini? Ardhi huwezi kumgawia mwanamke maana ni ya ukoo na amekuja akaikuta.

Mambo yanaenda kwa kubadilika Mkuu
 
Yeye akishalipiwa mal kwao ndo mali yake hio, kaolewa ili aje kuzaa na kusaidia tu
Jasho langu urithi wewe ambae nikifa unaweza kuolewa na mwanaume mwingine never never
 
Back
Top Bottom