Hii inategemea. Kwangu mimi kugawana mali inabidi kila mtu awe na haki, ila jua kuwa mara nyingi ndoa za vijijini mara nyingi huwa hakuna cha kugawana. Nyumba ya nyasi mtagawana nini? Ardhi huwezi kumgawia mwanamke maana ni ya ukoo na amekuja akaikuta.