Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kwa uzoefu wetu CCM ni wezi! Sasa katika kufanya ujambazi wao UVCCM na Polisiccm wamedhurumiana wakaishia kutwangana risasi!Tukio la jana ni ugomvi wa kifamilia, CCM baina ya CCM (UVCCM vs POLISISISEMU).
Raia tuliokua tumejificha chini ya seat za ile daladala ndio maana hatukupata maafa yoyote. Jamaa lingeamua kuzimwaga kwenye tank la mafuta ya ile daladala lingetukaanga kama shenene.View attachment 1908854
Kwa kuwa imewagusa ccm ndio maana mnasema lisihusishwe na vyama vya siasa. Mmesahau kuwa nyie ndio mlianza kwa polisi wenu kuja na picha za bunduki zilizofungwa na bendera ya chadema, visu vyenye rangi ya CUF?Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni. Hili ni tukio baya la kuterrorise maisha ya watu kama lingekuwa motivated na chama cha siasa asingekwenda mtuhumiwa mmoja pekee. Tungeona makundi ya wafuasi wa vyama vya siasa. Tuache majungu ya kisiasa yasiyokuwa na tija kwa taifa letu.
What is your point here?Tukio la jana ni ugomvi wa kifamilia, CCM baina ya CCM (UVCCM vs POLISISISEMU).
Raia tuliokua tumejificha chini ya seat za ile daladala ndio maana hatukupata maafa yoyote. Jamaa lingeamua kuzimwaga kwenye tank la mafuta ya ile daladala lingetukaanga kama shenene.View attachment 1908854
Huu ndio upuuzi wa kisiasa.Shida ni kwamba gaidi hamza amevaa nguo za kijani, angekua amevaa gwanda za makamanda kwa sasa viongozi wote wa chadema wangekua ndani bila kujali wamehusika au hawajahusika
Mbowe ndiye alimpa 600,000 Hamza aue police😂😂😂Huku sio kuchafuana au kupakana matope bali ni kukosa busara za kisiasa. Maana huwezi kusema kuwa ni Chadema yetu au Ccm yao itachafuka kwa upuuzi wa kutunga mitandaoni...
Aisee, kumbe ndivyo mambo yalivyo?CCM na mambo ya kitoto, ya kijinga na ya kikatili hawawezekani. Fikiria walikuwa wameshatengeneza kadi ya Chadema na kuanza kudai mtuhumiwa ni Chadema na kumpa jina la gaidi!...