Kulihusisha tukio la mauaji Kinondoni na vyama vya siasa ni kukosa busara za kisiasa

CCM ni Chama Cha Magaidi, sasa ni dhahiri shairi! Hamza kathibitisha
 
Kada la Lumumba likiwa kazini kutetea chama chake! Nina uhakika, kama huyu Hamza angekuwa CDM basi ungeshiriki hapa kuinanga CDM na hata kumuhusisha Hamza na Mbowe!
Kuna moja jana nilimsoma mahali anadai Hamza alikua akipiga kelele 'Mbowe sio faidi mimi ndiye gaidi"
 
Ila ni busara kumsingizia Mbowe kuwa gaidi?
 
Kuna moja jana nilimsoma mahali anadai Hamza alikua akipiga kelele 'Mbowe sio faidi mimi ndiye gaidi"
Siamini hilo!Huyu kwanza inaonekana ana motives zake nje ya siasa!Ingekuwa mambo ya siasa basi angewala vichwa hadi raia!
 
Wewe/nyie mkiacha majungu ya kisiasa na wale/wao wataacha.Sasa tuambie ushiriki wako uko wapi,kwenye kubambikia au kwenye kubambikiwa?
 
Mbona nyie CCM mnachafua Mbowe?
 
Bila hii hali kukemewa na vyama vyote ipo siku tutavuna tunachopanda.
 
Sawa Kabisa unayosema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…