Kulikoni kukamatwa na kupewa kesi kina Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa wakati Lissu ndiye anaupinga mkataba kwa lugha kali zaidi?

Kulikoni kukamatwa na kupewa kesi kina Mwabukusi, Mdude na Dkt. Slaa wakati Lissu ndiye anaupinga mkataba kwa lugha kali zaidi?

lissu anaongea kauli ambazo zinamuweka salama kisheria, ndo maana kei=si nyng za jiwe alikuwa anashinda, hata kingai agizo lake kashindwa kulifanyia kaz maana lina mapungufu kisheria, wakitumia nguvu kumkamata bado watamwachia mapema tu maana lissu ana attention kimataifa na sisi wakopaji tunaogopa kunyimwa mikopo, hvyo lissu wanamhanya
 
CHADEMA wapo kwenye ndoa...na .....

Lissu alikuwa akipambana na Kaburi....

....na ieleweke hakuna kitu kama hichi(kesi ya uhaini) kiliwahi kutokea katika Serikali ya Hayat Rais J.P.Magufuli.

CHADEMA ni CCM, waliokamatwa.....hawamo humo kuwili.
Uko sahihi mkuu.Lisu hana madhara kwa Samia hata CCM wenyewe ndio maana hawana habari naye.Spana anazopiga Lisu au Mbowe kwa watawala ni za kawaida sana. Serikali inajua akina nani ni wao akina nani si wao,Lisu Mbowe na genge lake hawa ni wanaccm,najua makada wa Ufipa hili hawawezi kubali.Hata ukiwasikiliza kati ya Lisu na Akina Mwabukusi utaona kuna utofauti mkubwa sana.Juzi kati hapa Lisu alipoharibu kwa mabwana zake CCM akaona asawazishe kwa kushambulia sana Sukuma Gang.Sio Rahisi kwa Serikali kumuacha mtu kama Lisu,eti kaitwa na DCI kapuuza.
 
Lissu ameshajitengenezea jina huko, kumgusa tena ni sawa na kurudia kujivua nguo, zile nchi alizozunguka kule nje, mpaka kwenye mabunge yao, sehemu nyingine na speech akatoa, huyu ni kuwa nae makini sana, tena sana zaidi kama bado ile ndoto ya kufungua nchi ipo kichwani mwa msaliti.
Kumkamata wanataka lakini wanaogopa na target ni Lissu hawa wengine ni msafara wa mamba na kenge nao wamo.
 
lissu anaongea kauli ambazo zinamuweka salama kisheria, ndo maana kei=si nyng za jiwe alikuwa anashinda, hata kingai agizo lake kashindwa kulifanyia kaz maana lina mapungufu kisheria, wakitumia nguvu kumkamata bado watamwachia mapema tu maana lissu ana attention kimataifa na sisi wakopaji tunaogopa kunyimwa mikopo, hvyo lissu wanamhanya
Hata Dr Slaa sihaba kimataifa
 
Back
Top Bottom