Lissu ameshajitengenezea jina huko, kumgusa tena ni sawa na kurudia kujivua nguo, zile nchi alizozunguka kule nje, mpaka kwenye mabunge yao, sehemu nyingine na speech akatoa, huyu ni kuwa nae makini sana, tena sana zaidi kama bado ile ndoto ya kufungua nchi ipo kichwani mwa msaliti.