Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sisi ndo tunajua auKama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
Watumishi wa Serikali hamnaga akibaGTs,
Kwa wale msiofahamu, simbanking ni app ya CRDB inayowezesha huduma za kibenki kupitia simu. Ila sishauri mtu aitumie hii app, ni ya ovyo ovyo mno!
CRDB Simbanking leo toka asubuhi inasumbua, no information wala hawaombi msamaha. Hivi kama mtu ana mgonjwa na yupo mbali na ATM akaamua kulipa kwa Sim banking na inasumbua si mgonjwa anaweza kufa.
Na hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara.
Je benki gani yenye uhakika wa service?
Nani kakuambia kila mwenye akaunti CRDB ni mtumishi wa serikali?Watumishi wa Serikali hamnaga akiba
Muwe mnakaa na hela ndani na mpesa nk
Nadhani Nsekela atakuwa mwizi wanavuruga mifumo ili waibe hela za wateja au wanafanya Money Laundering. Haiwezekani bank kubwa namna hii iwe na mifumo dhaifu kiasi hiki na tena bila kutoa taarifaKama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
Walimu bwana , lakini hapa Tz local bank Hakuna bank nzuri Kama CRDBNadhani Nsekela atakuwa mwizi wanavuruga mifumo ili waibe hela za wateja au wanafanya Money Laundering. Haiwezekani bank kubwa namna hii iwe na mifumo dhaifu kiasi hiki na tena bila kutoa taarifa
Kazi inaelekea kuwashinda au wamelewa biashara.Kama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
Kuna Mtu alipaswa kesho akachukue mzigo WA IDD kafeli leoGTs,
Kwa wale msiofahamu, simbanking ni app ya CRDB inayowezesha huduma za kibenki kupitia simu. Ila sishauri mtu aitumie hii app, ni ya ovyo ovyo mno!
CRDB Simbanking leo toka asubuhi inasumbua, no information wala hawaombi msamaha. Hivi kama mtu ana mgonjwa na yupo mbali na ATM akaamua kulipa kwa Sim banking na inasumbua si mgonjwa anaweza kufa.
Na hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara.
Je benki gani yenye uhakika wa service?
Mifumo ya CRDB ikisumbua huwa hata hela zinaweza zisifikeAsubuhi nimetuma pesa mbona ila sijaju kama imewafikia ila huku imetoka.
Nadhani Nsekela atakuwa mwizi wanavuruga mifumo ili waibe hela za wateja au wanafanya Money Laundering. Haiwezekani bank kubwa namna hii iwe na mifumo dhaifu kiasi hiki na tena bila kutoa taarifa
International si ungehama nazo kwenda ulikoenda?Wakuu hawa Ndugu wakuitwa Crdb bank ni Changamoto sana ifikapo tarehe za Mwisho wa mwenzi kama muda huu, Network yao iko unavailable, Yani tangu nihame Arusha na Kuja uku Mikoani kwa kweli changamoto za Local banks ni Kubwa sana, Arusha nilizoea International banks ambazo hazina huu Ujinga wa Nmb na Crdb
Umeongea ukweli Mimi zimeingia pesa kwenye akaunti, halafu zikapotea. Kila nikijaribu kuwapigia mtandao haupatikani.