Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

GTs,

Kwa wale msiofahamu, simbanking ni app ya CRDB inayowezesha huduma za kibenki kupitia simu. Ila sishauri mtu aitumie hii app, ni ya ovyo ovyo mno!

CRDB Simbanking leo toka asubuhi inasumbua, no information wala hawaombi msamaha. Hivi kama mtu ana mgonjwa na yupo mbali na ATM akaamua kulipa kwa Sim banking na inasumbua si mgonjwa anaweza kufa.

Na hii imekuwa ikijitokeza mara kwa mara.

Je, benki gani yenye uhakika wa service?
Kwani muamala wa simbanking unaweza mrudishia mtu uhai?
 
Umeghairi/Umeahirisha, ni vyema kupitia unachotuma kabla ya kukituma la sivyo utabatizwa jina la kituko bila kupinga [emoji38]
Kama ulielewa nini na maanisha ungepita hivi,sio kila unachosoma lazima ukosoe.Kumbuka Jf ni jukwaa ambalo hata asie soma anasifa.Tusijifanye tunajua sana na huku CHUPI ulio vaa inatoka China na hata Sinki la Choo unacho KUNYA lina toka China.
Nahata sielewi mtu kijifanya ujuaji na elimu yako ni hii hii ya Bongo nyoso Nyammbaf wahead.
 
Bado ongeza matusi yale mazito zito zaidi maana hakuna jipya chini ya jua Chifu [emoji23]
 
Back
Top Bottom